Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu samahani.
Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)?
Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response ukiuliza wao.
Naamanisha sehem u wanapohitaji cheti cha professional kama cheti huna je unaweza kutumia Academic transcriptMaelezo yako hayajitoshelezi, unataka kutumia transcript badala ya cheti kipi?
Elezea shida yako vizuri kwamba una vyeti gani nk, na unahitaji kujua nini hasa?
Naamanisha sehem u wanapohitaji cheti cha professional kama cheti huna je unaweza kutumia Academic transcript
Naamanisha sehem u wanapohitaji cheti cha professional kama cheti huna je unaweza kutumia Academic transcript
Ni ngazi ya diploma so degree,Vyeti havijatoka ila nina Academic transcript tu