Mkuu
Mkuu pasipo kumung,unya maneno mafundi wengi teknolojia imewaacha sana na hii ni kwa sababu hawapendi kujiendeleza hivyo bado wana maarifa ya zamani sana! Kingine kwa kuwa kiingereza ni shida hivyo wanakosa kupata maarifa mengi sana kwa mfano kuna mtu anaitwa peter finn yupo youtube ana video nyingi namna ya kutatua ubovu wa magari ya toyota ila ndo hivyo tena english kwa mafundi wengi kituo cha polisi!hakika uzi huu umenibariki sana...mimi nilikuwa natumia SAE 40 kwenye nissan cc 1500...kwa kuwa km zake zimefikia mwisho naenda kununua 5w 30. Pia nilikuja kugundua baadae sana kuwa 5w 30 ndiyo oil recommended..
nikichojifunza mafundi wetu wakibongo hawapendi kusoma na kujifunza engine za kisasa.
wanaweza kukushauri jambo ukajuta.
Hii SAE40 nikiwasha gari asubuhi engine inavuma sana
