Hizbu Sharifu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2021
- 450
- 890
Habari
Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo
1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako unavyoshambuliwa na nguvu za giza
2.Kadri changamoto zinavyokua nyingi shuleni ndivyo jinsi ulivyoathirika na shambulio hilo mfano kushindwa kumaliza mtihani, kushindwa kukusanya mtihani, kucherewa na kadhalika
3. Shambulio hilo linaweza kufanywa na binaadamu kwa kutumiwa na uchawi au kutoka kwa mashetani ya kijini
4. Cha kufanya baada ya kupata ndoto hizi ni kufanya tiba ya kujisafisha mwili
Usidharau ndoto hizi maana baada ya ndoto hizi kuna mambo hutbadilika katika maisha yako mfano uchumi, mahusiano, cheo, ugonjwa
Natumai mmeridhika na maelezo yangu ila pia maswali yanaruhusiwa