Maelezo ya Nyerere kwa Gen. Kombe na Membe kuhusu Jack Gotham

Baada ya kifo cha Jen. Imrani Kombe ndipo Jen.Apson Mwang'onda akachukua nafasi kama Mkurugenzi Mkuu wa "ofisi nyeti".
Mkuu Gareth Bale, kwanza asante kwa simulizi hizi, wewe una kipaji cha uandishi wa vitabu, yaani unaandika fiction story kwa umahiri mkubwa hadi inaonekana kama ni non fiction, isingekuwa hii issue ya Kombe, hata mimi ungenichota mazima kwa hizi kamba za mchana kweupe.

Kwanza, wakati Imran Kombe akiwa Mkurungenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa, cheo chake cha kijeshi kilikuwa ni Lt. Gen na sio Gen!. Kwenye hierarchy ya vyeo vya kijeshi kwa nchi yetu, tunakuwa na Generali mmoja tuu at the time ambaye huwa ndie CDF, na chini yake kuna Lt. Gen 1 ambaye ni Mnadhimu Mkuu na wanafuata ma Maj. Gen, na Ma Brg. Gen.

Gen ni Mkuu wa Majeshi tuu, hivyo Kombe hakuwa Gen.

Pili by the time Kombe anauliwa kwa risasi nje ya nyumba yake eneo la Maili Sita Moshi, baada ya assassins wawili kumtrail toka Dar, alisha staafu rasmi, hivyo kusema Apson alikuwa DG TISS baada ya kifo cha Kombe is not right, hii ni kamba mbichi ya mgomba iliyofungwa mapema asaubuhi, kabla jua halija chomoza, ila jua lilipowaka, kufika mchana kweupe, kamba yako ya mgomba, ikanyauka na kukatika.

Hata hivyo, pamoja na kuwa ni fiction lakini unatumia real names badala ya fictitious names na story ni nzuri, keep it up,
Nasubiria episode ya Sam Ruhuza maana ni Mwana Tambaza mwenzangu.

P
 
A story from the horse's mouth. Membe endelea kutupa stories za ndani brother
 
Hii yote ni kumuandaa BKM kiwa mgombea wa "UKAWA"!
Hata shamba Bora huandaliwa kabla ya mbegu Bora kupandwa humo! Endelea kuwahi kuhukumu tu kwani matendo yako huitangulia akili yako! Ni lini na wapi Member amekuambia atagombea urais akiwa ukawa? Endeleeni kujambishwa tu lakini mtavunja rekodi ya kuongoza kwa miaka mitano tu bila nyongeza mliyoizoea! Karibu Member uchukue fomu ya kugombea kupitia ccm nami nitakuunga juhudi!
 
GaGare
Garethbale uko vizuri. Unautendea haki ukumbi huu kwa kuwa ni Home of Great Thinkers.
 
Mwangonda nae alikuwa mkabila Sana ndio aliwaingiza kina isaga mwalukasa ambae alikuja kuwa rso morogoro baada ya ngowi kuhamishiwa ikulu
 
Kuna wakati huyu Jack akihusiamshwa vitambulisho vya taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes vitambulisho vya Taifa anahusika, na alikua na ofc maeneo ya TMJ

Anko JG yuko vzr sana, pale kwake Mbezi full security ,Burito street

Ila kdg mleta mada umejichanganya hapo juu ila yote kwa yote Uzi nzuri

Natamani nisome hizo episodes zilizopita
 
Umesomeka mkuu,tunasubiria part 2
 
Mwangonda nae alikuwa mkabila Sana ndio aliwaingiza kina isaga mwalukasa ambae alikuja kuwa rso morogoro baada ya ngowi kuhamishiwa ikulu

Huyu mzee bado yupo taskforce pale? Ana roho ngumu kama chuma cha mjerumani.
 
Halafu mie nilivo kaa!! kaa tu bana!! watu huwa wana nihisi sana....kuwa niko idara nyeti sasa huwa naogopa wasije wakanidedisha watu!! wkt hata mafunzo yenyewe sina wajameni mweee!!

Boss wangu aliniona siku moja akanza kulia '' Mimi simooooo! ni majungu tuuu!!'' mimi simo dogo ni majungu tuu! mweee! hapo nikaona nihame ofisi kimya kimya! ......... nisije tiwa kitanzi kuwahribia wtu! sasa hapo ndo nikwa nimeroga kabisaaa!!!

unaona!!!! kesha maliza kazi sasa huyooo!!....katuweka kwenye Risiti ya kutumaliza bila jasho!! jamani nitaishi vipi mie! ukizingatia nimetoka mkoa nyeti!! halafu nina bahati ya kutembelewa na hawa watu kubwa kubwa!!

km huyu lukuvi alizoea sana kupitapita maeneo ya kazini kwangu! tunapiga story mbili tatu! hasaalipopata ilee ajali jamani mwee!!
 
Madini sanaaa
 
Mwangonda nae alikuwa mkabila Sana ndio aliwaingiza kina isaga mwalukasa ambae alikuja kuwa rso morogoro baada ya ngowi kuhamishiwa ikulu
MWALUKASA kaingia kwenye idara miaka ya Nyerere na kupata urso miaka ya kuanzia mwinyi amestaafu 2005

Inawezekana huwajui Hawa watu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…