Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
Gotham tunasali nae St Thomas More hapa mbezi beach, hivi karibuni pakiwa na sintofahamu ya pesa ya ujenzi inakwenda wapi, alisimama kabla ya baraka ya mwisho na kueleza kwa kina nini haswa kamati ya ujenzi inafanya kuelekea kumaliza ujenzi wa kanisa.
Anakaa huku mbezi beach nyuma ya rainbow club. Sikujua kama ni chotara mwenye uhusiano na kina Hans Pope.
Anakaa huku mbezi beach nyuma ya rainbow club. Sikujua kama ni chotara mwenye uhusiano na kina Hans Pope.