Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 9,414
- 6,029
huyo mtu msikie tu, nilibahatika kukutana nae sehemu ....gotham hana picha hata 1 online anyway
ile nyumba yake ina camera mwanzo mwisho, tena zile zenyewe zenyewe za kudetect kituGotham tunasali nae St Thomas More hapa mbezi beach, hivi karibuni pakiwa na sintofahamu ya pesa ya ujenzi inakwenda wapi, alisimama kabla ya baraka ya mwisho na kueleza kwa kina nini haswa kamati ya ujenzi inafanya kuelekea kumaliza ujenzi wa kanisa.
Anakaa huku mbezi beach nyuma ya rainbow club. Sikujua kama ni chotara mwenye uhusiano na kina Hans Pope.
kivipi si umesikia ni mtu wa kanisani ?huyo mtu msikie tu, nilibahatika kukutana nae sehemu ....
shida iko wapi?????????????? si ulinzi tena zinatakiwa kufungwa tanzania nzima tena zenye AI kama china etcile nyumba yake ina camera mwanzo mwisho, tena zile zenyewe zenyewe za kudetect kitu
alisimama kabla ya baraka ya mwisho na kueleza kwa kina nini haswa kamati ya ujenzi inafanya kuelekea kumaliza ujenzi wa kanisa.Gotham tunasali nae St Thomas More hapa mbezi beach, hivi karibuni pakiwa na sintofahamu ya pesa ya ujenzi inakwenda wapi, alisimama kabla ya baraka ya mwisho na kueleza kwa kina nini haswa kamati ya ujenzi inafanya kuelekea kumaliza ujenzi wa kanisa.
Anakaa huku mbezi beach nyuma ya rainbow club. Sikujua kama ni chotara mwenye uhusiano na kina Hans Pope.
jaribu kutafuta taarifa zake zaidikivipi si umesikia ni mtu wa kanisani ?
shida iko wapi?????????????? si ulinzi tena zinatakiwa kufungwa tanzania nzima tena zenye AI kama china etc
jaribu kutafuta taarifa zake zaidijaribu kutafuta taarifa zake zaidi