Maelfu kote Marekani waandamana kupinga Sera za Trump

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Trump yamefanyika katika miji mbalimbali kote Marekani, yakionyesha duru ya tatu ya maandamano ya “No Kings” ambayo hapo awali yalivutia mamilioni ya watu.

Waandaaji wanasema wanaandamana kupinga sera zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zikiwemo vita nchini Iran, utekelezaji wa sheria za uhamiaji za shirikisho, na kupanda kwa gharama ya maisha. “Trump anataka kututawala kama dikteta.

Lakini hii ni Marekani, na mamlaka ni ya wananchi — si ya wanaotaka kuwa wafalme au washirika wao mabilionea,” waandaaji walisema.

Msemaji wa Ikulu ya White House aliita maandamano hayo “vikao vya tiba ya wazimu wa Trump (Trump Derangement Therapy Sessions)” na kusema watu pekee wanaojali “ni waandishi wa habari wanaolipwa kuyafuatilia.”

=======

Large protests against the Trump administration have taken place in cities across the US, marking the third iteration of No Kings rallies that have previously drawn crowds into the millions.

Organisers say they are protesting against policies imposed by US President Donald Trump, including the war in Iran, federal immigration enforcement and the rising cost of living.

"Trump wants to rule over us as a tyrant. But this is America, and power belongs to the people - not to wannabe kings or their billionaire cronies," organisers said.

A White House spokesperson called the protests "Trump Derangement Therapy Sessions" and said the only people who care "are the reporters who are paid to cover them".

Getty Images Hundreds of protesters gather in front of the Lincoln Memorial in Washington DC, holding signs and waving flags

Getty Images

Protesters gathered in front of the Lincoln Memorial in Washington DC
Throughout the day on Saturday, demonstrations took place in nearly every major US city, including New York, Washington DC, and Los Angeles.

Rallies took over the streets of downtown Washington DC throughout the afternoon, with throngs of people marching through the nation's capital. Protesters lined the steps of the the Lincoln Memorial and packed the National Mall.

Like in previous iterations of No Kings, protesters held up effigies of Trump, Vice President JD Vance and other officials in the administration, calling for their ousting and arrest.
 
Kichwa cha habari ungeandika kwa kingereza tu maana nimekuja speed nakutana na lugha tata

Sisi wengine hatupendi kusoma hiyo lugha kwasababu inatufanya tujione kama tupo darasani
 
Hii hali na itegemea hata nchi za ulaya kwani nao mda si mrefu wataandamana, maana bei ya Gas na mafuta imepanda kwa kiasi kikubwa sana. US na Myahudi walidanganywa kuhusu Iran,kwa sasa wanatafuta mlango wa kutokea hawauoni na Iran hapoi kabisa,anaendeleza lilo walilo lianzisha.
 
Maandamano makubwa dhidi ya utawala wa Trump yamefanyika katika miji mbalimbali kote Marekani, yakionyesha duru ya tatu ya maandamano ya “No Kings” ambayo hapo awali yalivutia mamilioni ya watu.

Waandaaji wanasema wanaandamana kupinga sera zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zikiwemo vita nchini Iran, utekelezaji wa sheria za uhamiaji za shirikisho, na kupanda kwa gharama ya maisha. “Trump anataka kututawala kama dikteta.

Lakini hii ni Marekani, na mamlaka ni ya wananchi — si ya wanaotaka kuwa wafalme au washirika wao mabilionea,” waandaaji walisema.

Msemaji wa Ikulu ya White House aliita maandamano hayo “vikao vya tiba ya wazimu wa Trump (Trump Derangement Therapy Sessions)” na kusema watu pekee wanaojali “ni waandishi wa habari wanaolipwa kuyafuatilia.”

=======

Large protests against the Trump administration have taken place in cities across the US, marking the third iteration of No Kings rallies that have previously drawn crowds into the millions.

Organisers say they are protesting against policies imposed by US President Donald Trump, including the war in Iran, federal immigration enforcement and the rising cost of living.

"Trump wants to rule over us as a tyrant. But this is America, and power belongs to the people - not to wannabe kings or their billionaire cronies," organisers said.

A White House spokesperson called the protests "Trump Derangement Therapy Sessions" and said the only people who care "are the reporters who are paid to cover them".

Getty Images Hundreds of protesters gather in front of the Lincoln Memorial in Washington DC, holding signs and waving flags

Getty Images

Protesters gathered in front of the Lincoln Memorial in Washington DC
Throughout the day on Saturday, demonstrations took place in nearly every major US city, including New York, Washington DC, and Los Angeles.

Rallies took over the streets of downtown Washington DC throughout the afternoon, with throngs of people marching through the nation's capital. Protesters lined the steps of the the Lincoln Memorial and packed the National Mall.

Like in previous iterations of No Kings, protesters held up effigies of Trump, Vice President JD Vance and other officials in the administration, calling for their ousting and arrest.
Hao ndo wale baadhi ya democrats wajinga hawana uzalendo
 
Hata kipindi cha Sadam waliandamana, ila matakwa ya viongozi huko Marikani walitimiza
 
Ukisema kote Marekani itakuwa ni uongo hakuna maandamano yanayoweza kufanyika kote Marekani pamoja na kwamba wana uhuru wa kuandamana kwa sababu ya demokrasia yao.

Laiti nchi kama Tanzania au Iran zingekuwa na demokrasia kama Marekani leo hii serikali zao zisingekuwa madarakani.
 
Hizo ni blue states kitu Cha kawaida, ndo maana Ben Senders aliutubia maandamano hayo
 
Hata kipindi cha Sadam waliandamana, ila matakwa ya viongozi huko Marikani walitimiza
Kwa Sadam matakwa yalitimizwa kwa sababu yeye alishambuliwa bila yeye kuwa na uwezo wa kushambulia. Hakuwa na mifumo ya ulinzi, hakuwa ni silaha yoyote ya maana.

Kwa Iran hali ni tofauti kwa sababu ana silaha ambazo zinapenya mifumo yote ya ulinzi ya Marekani, Israel, na Ulaya yote kwa ujumla. I mean hakuna mfumo uliofanikisha kuzuia mashambulizi ya Iran. Iwe Israel, Saudia, Jordan, Qatar, Bahrain, Dubai nk.

Sadam hakuwa na uwezo wa kufunga au kuzuia adui asimsogelee. Iran imefunga mfereji na kuifanya Marekani ilie lie kuomba msaada NATO waje kuwasaidia. Ndege na meli kubwa za kivita za Marekani zimechakazwa vibaya sana.

Iran ndio nchi pekee duniani yenye uwezo wa kushambulia zaidi ya nchi 8 kila siku. Hadi walioanzisha vita Marekani wanalazimisha vita isimame.

Vita ya Sadam Israel walikuwa wana relax, lkn leo vita yao na Iran imesababisha viongozi na raia wa Israel kuishi kwenye bankers huku majengo yao yakivunjwa vunjwa kama beskuti 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom