McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Maelfu ya raia wa Bulgaria wamefanya maandamano jumatano kupinga Serikali inayomaliza muda wake ambapo waandamanaji hao wanadai uchaguzi wa haki na mabadiliko katika mfumo wa mahakama ili kupambana na rushwa iliyokithiri nchini humo.
Maandamano hayo yalifanyika katika mji mkuu sofia na miji mingine kadhaa.
Waandamanaji walibeba bendera za bulgaria na za umoja wa ulaya, huku baadhi yao wakisema serikali imekuwa na kiburi na haijali wananchi.
Kwanini watu wanaaandamana?
Bulgaria ni nchi maskini zaidi ndani ya Umoja wa Ulaya. Tangu karibu 2020, imekuwa na serikali zinazodumu kwa muda mfupi, kashfa nyingi za rushwa na chaguzi zinazorudiwa mara kwa mara
Wananchi wengi wanaamini nchi inaendeshwa kama mtandao wa kifisadi unaowanufaisha wachache wenye fedha, huku watu wa kawaida wakikabiliwa na mishahara midogo, gharama kubwa za maisha na kukosa matumaini ya baadaye. Vijana wengi, hasa kizazi cha Gen Z, ndio wanaoongoza hasira na maandamano hayo.
Chanzo cha maandamano ya hivi karibuni mwishoni mwa mwaka 2025 kilikuwa ni jaribio la serikali kupitisha bajeti ya mwaka 2026 iliyopendekeza kuongeza kodi. Wananchi waliona hatua hiyo bajeti hiyo ni njia ya kunufaisha mafisadi na vyombo vya usalama badala ya kuboresha huduma za afya, elimu na maisha ya watu wa kawaida.
=========================================
Thousands of Bulgarians protested on Thursday evening against the outgoing government, calling for fair elections and judicial reform to tackle what they describe as endemic corruption in the European Union's poorest member state.
The protests in the capital Sofia and several other towns and cities across the Black Sea nation are the latest in a series of rolling demonstrations and come as Bulgaria prepares to adopt the euro on January 1.
The outgoing government, in power since January, had looked set to oversee the transition to the euro, but Prime Minister Rosen Zhelyazkov handed in his government's resignation last week after weeks of street protests against state corruption and a new budget that would have increased taxes.
Protesters on Thursday held Bulgarian and EU flags. One sign read "This is not farce."
"Everything about it (the government) is extremely brazen. Shameless. Such arrogant behaviour defines this government," said Shisman Nikolov, a 48-year-old salesman.
"Society does not respect people who consider themselves above others."
Source: Reuters