Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

Maelfu wamlilia Ali Kamwe,ni vilio na simanzi jangwani asubuhi hii

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli Kamwe
..tutaendelea kuwajuza
 
Waache uchuro.
 
Watu makini wangeshatengeneza namna ya kuwabakisha wote kisha pumba na mchele vingejichuja tu vyenyewe hapo mbeleni...

Unaunda nafasi, unam-promote Ali kutokana na shule yake, Manara chini ya Ali, game over
Wangepigana ngumi siku moja bora akatafute ugali kwingine
 
"Mnahangaika na habari ya korosho, habari ya Mbaazi na Ufuta nataniwapongeze sana katika Miaka michache hii mmepiga hatua kubwa sana katika Kilimo Kuna Kila dalili kuwa Habari ya Umasikini itabaki hadithi katika Mkoa wa Mtwara sasa nawaombeni sana kasi ya kujipa Maendeleo msirudi nyuma Muendelee kuchapa kazi Kwa juhudi kuyatafuta Maendeleo kwa nguvu zetu zote".

Niendelee kuisisitiza Serikali kuendelea na Moyo huwo huwo wakuhakikisha kuwa pembejeo za Kilimo zinapataikana kwa bei nafuu na kwa wakati .Balozi Nchimbi amesema hayo akizungumza na Wananchi na Wanachama wa CCM katika Viwanja vya Sabasaba Mtwara Mjini.

🗓️28 Julai,2024.

#VitendoVinasauti
#TunaendeleanaMama
#KaziIendelee
 
Juzi wamelala wananunua jezi,leo wameamka msibani kumlilia Kamwe. Serikali tunajua inafaidika na huu ujinga WA Simba na Yanga lakini ijue kizazi cha majobless ni bomu ambalo kulipuka ni lazima.
Uko sahihi,serikali ina mkono wange yaani watu hawajadili mambo ya msingi wanaamkia klabuni kumlilia Ali Kamwe
 
Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli Kamwe
..tutaendelea kuwajuza
Mimi shabiki wa mpira ni mpenzi wa Simba. Lakini kwa ishu ya Manara namuona kama hafit Yanga zaidi ya kuharibu Yanga iliyokuwa imetulia. Mrudisheni Ally. Wa kuhamahama mwacheni.
 
Mashabiki wengi wa yanga ni majobles juzi kati walikusanyika hapo asubuhi na mapema, baada ya mahakama kumtaka Hersi afungashe virago, rejea yanga supu day maelfu walikusanyika hapo kudinya supu.
 
Back
Top Bottom