Waache uchuro.Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli Kamwe
..tutaendelea kuwajuza
Zungu pori anajikuta matawi, hataki kuwa chini ya mtu.Watu makini wangeshatengeneza namna ya kuwabakisha wote kisha pumba na mchele vingejichuja tu vyenyewe hapo mbeleni...
Unaunda nafasi, unam-promote Ali kutokana na shule yake, Manara chini ya Ali, game over
Wangepigana ngumi siku moja bora akatafute ugali kwingineWatu makini wangeshatengeneza namna ya kuwabakisha wote kisha pumba na mchele vingejichuja tu vyenyewe hapo mbeleni...
Unaunda nafasi, unam-promote Ali kutokana na shule yake, Manara chini ya Ali, game over
Uko sahihi,serikali ina mkono wange yaani watu hawajadili mambo ya msingi wanaamkia klabuni kumlilia Ali KamweJuzi wamelala wananunua jezi,leo wameamka msibani kumlilia Kamwe. Serikali tunajua inafaidika na huu ujinga WA Simba na Yanga lakini ijue kizazi cha majobless ni bomu ambalo kulipuka ni lazima.
Mimi shabiki wa mpira ni mpenzi wa Simba. Lakini kwa ishu ya Manara namuona kama hafit Yanga zaidi ya kuharibu Yanga iliyokuwa imetulia. Mrudisheni Ally. Wa kuhamahama mwacheni.Furaha za ushindi wa yanga jana dhidi ya Kaizer Chief zimeingia dosari kufuatia sintofahamu ya afisa habari wa klabu hiyo kutoa chapisho lenye utata.
Maelfu ya mashabiki na wanachama wamekusanyika nje ya klabu yao asubuhi hii mitaa ya Jangwani na Twiga,mazungumzo yanayotawala ni kuhusu Alli Kamwe
..tutaendelea kuwajuza
Haji Manara kampiga kipapai amejikuta tu anaandika barua ya kuujizuluKwani Amefariki au! Mbona sielewi
Duh Ila Haji Aombee Yanga ifanye vizuri this season,ikiboronga sababu watasema yeye ana mikosi ni kirusi.Haji Manara kampiga kipapai amejikuta tu anaandika barua ya kuujizulu