Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Habari njema kutoka Italia zinaarifu kuwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza imerekodi idadi kubwa ya watu waliopona virusi vya corona katika kipindi cha masaa ishirini na nne.
Kulingana na mkuu wa idara ya kukabiliana na majanga Angelo Borelli, watu 2,563 wamethibitishwa kupona virusi vya corona katika kipindi cha siku moja. Idadi ya walioambukizwa virusi hivyo pia imepungua pakubwa.
Kati ya Alhamis na Ijumaa ni visa 3,786 vya maambukizi vilivyoripotiwa. Kulingana na Taasisi ya Kitaifa ya Afya mjini Roma, karibu wahudumu wa afya 17,000 wameambukizwa virusi hivyo sasa huku idadi kubwa wakiambukizwa wanapokuwa kazini.
DW Swahili