Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Huu ugonjwa ni mpya kwetu ili tupambane kutakuwa na majaribio na makosa mengi yatakayojitokeza kwa hiyo ni jukumu letu kuangalia wenzetu wamefanikiwa wapi na walikosea wapi
Kuiga ni muhimu na ujuaji ni ujinga
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kuiga ni muhimu na ujuaji ni ujinga
Sent from my iPhone using Tapatalk