Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Makonda baba laoNidhamu ndio imesaidia sana! Hapa kwetu kila MTU anasema vile anasikia kusema
Umesema kweli aiseeHuu uzi ungekuwa unaongelea vifo zaidi ya 2500 ndani ya masaa 24 ungekuwa unakaribia comments 100k! Sie huwa tunapenda habari mbaya mbaya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Imebaki siku moja ya maombiWabongo tuko vizuri, sala zetu zimevuka border.
hakika.Huu uzi ungekuwa unaongelea vifo zaidi ya 2500 ndani ya masaa 24 ungekuwa unakaribia comments 100k! Sie huwa tunapenda habari mbaya mbaya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu! huu ugonjwa utadhibitiwa tu.
Habari njema kutoka Italia zinaarifu kuwa nchi hiyo kwa mara ya kwanza imerekodi idadi kubwa ya watu waliopona virusi vya corona katika kipindi cha masaa ishirini na nne.
Kulingana na mkuu wa idara ya kukabiliana na majanga Angelo Borelli, watu 2,563 wamethibitishwa kupona virusi vya corona katika kipindi cha siku moja. Idadi ya walioambukizwa virusi hivyo pia imepungua pakubwa.
Kati ya Alhamis na Ijumaa ni visa 3,786 vya maambukizi vilivyoripotiwa. Kulingana na Taasisi ya Kitaifa ya Afya mjini Roma, karibu wahudumu wa afya 17,000 wameambukizwa virusi hivyo sasa huku idadi kubwa wakiambukizwa wanapokuwa kazini.
DW Swahili
Jibu hili hapaWanatumia dawa gani?
....................... sala zetu zimevuka border.
Maombi ya........ yamefanya kazi maana siyo kwa maombi yale aliyokuwa akifanya!
Sent using Jamii Forums mobile app