Maelfu watii amri ya kuondoka Gaza huku Israel ikiandaa wanajeshi 300,000 kuanza fagia fagia

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.

Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.

Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================

Israel-Palestine LIVE Updates: Thousands Flee As Israeli Forces Raid Gaza Strip

Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.

As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
 
Sasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Waajemi wanachungulia without any comment. May be watafanya surprise attacks kuifuta Israel kwenye uso wa dunial kama wanavyojiapiza daily!
Nilimuona Ayatollah wao anaongea kwa upole akikana kuhusika.Hao maneno ya mdomoni huwa mengi lakini vitendo sifuri.Kama wanajiamini kwanini sasa wanakana kuhusika kuwasaidia HAMAS kwa lile tukio la Jumamosi.Nilidhani ungekuwa ndiyo muda wao mzuri wa kuwavimbia Israel kuwa ndiyo wamehusika.
 
Ulitaka akubali kitu ambacho ajakifanya.Hamas wametumia madhaifu ya jeshi la Israel kufanya uvamizi.

Kila mtu watamuona mbaya mwaka huu.kila mtu wanamshika uchawi kuhusu kuwasaidia Hamas.hii aibu ni ngumu kufutika bali itadumu kizazi na kizazi
 
Sasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

HAMAS wameapa kutoondoka na kwamba wamejichimbia, hivyo tunataka kushuhudia vita baina wajitoa mhanga kwa pande zote.
Siku zote tumezoea watu wa upande mmoja kujinasibu kama wenye utashi wa kujitoa mhanga, sasa wanakuja machizi mara kumi zaidi yao, ambao kufa kwao ni baraka maana wanapigania kizazi chao cha leo na siku za usoni.
 
Sasa waambieni kama kweli wanapenda wale mabikira wenu, basi wasiondoke wakae hapo wajichimbie, huwa mnajinasibu kama msiojali kifo, haya wanakuja machizi zaidi yenu mara kumi, Muisraeli anapopigania kizazi chake huwa zombi yaani tayari kufa kwa lolote, hao magaidi wenu wa dini watafagiwa mpaka mtakoma huu ujinga huwa mnaufanya kila sehemu.
Miarabu yote ipo pembeni inajiangalizia isijue la kufanya....
 
Sasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app

Lengo la Israel wachukue eneo Hilo, maana wamegundua Hamas kaweka makazi yake pale. Na wakifika kaskazini nako wataondolewa watawanywe Mataifa mbalibali. Mwisho wa siku Gaza itakuwa Mali ya Israel Hamas atshambulia akiwa nje ya eneo la Palestine.
 
Hapo hata hamas watahama. Labda kama lengo la israiel ni kuwakusanya wote huko walikoshauri wahamie kisa wawateketeze huko huko bila kuhalisha nani ni adui au nani ni rafiki

Nadhani wanawarundika sehemu moja ili watawanywe nchi zingine ili Israel achukue utawala wa Gaza yote. Shida Hamas inachukuliwa Kama kikundi Cha kigaidi tofauti na wenzao Fatah
 
Ulitaka akubali kitu ambacho ajakifanya.Hamas wametumia madhaifu ya jeshi la Israel kufanya uvamizi.

Kila mtu watamuona mbaya mwaka huu.kila mtu wanamshika uchawi kuhusu kuwasaidia Hamas.hii aibu ni ngumu kufutika bali itadumu kizazi na kizazim

Aibu gani?. Kuvizia watu wapo kwenye ibada na sherehe ndio aibu. Jumamosi ni siku ya ibada kwa Israel, Hamas wakalijua Hilo, so wakaona wachukue mateka na kuua watu. Sasa ngoja tuone mwisho maana Israel akichukua eneo lote la Gaza, hasara itakuwa kwa Hamas.
 
HAMAS wameapa kutoondoka na kwamba wamejichimbia, hivyo tunataka kushuhudia vita baina wajitoa mhanga kwa pande zote.
Siku zote tumezoea watu wa upande mmoja kujinasibu kama wenye utashi wa kujitoa mhanga, sasa wanakuja machizi mara kumi zaidi yao, ambao kufa kwao ni baraka maana wanapigania kizazi chao cha leo na siku za usoni.

Nadhani mwisho wa Hamas umefika, wamechekewa muda mrefu wakaota mapembe.
 
Nilimuona Ayatollah wao anaongea kwa upole akikana kuhusika.Hao maneno ya mdomoni huwa mengi lakini vitendo sifuri.Kama wanajiamini kwanini sasa wanakana kuhusika kuwasaidia HAMAS kwa lile tukio la Jumamosi.Nilidhani ungekuwa ndiyo muda wao mzuri wa kuwavimbia Israel kuwa ndiyo wamehusika.
Ayatollah akiiangalia gaza inavyochakazwa lazima awakane wapalestina vita mbaya😭😩
 
Back
Top Bottom