igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 957
- 1,496
Lengo ni wananchi wa kawaida waondoke, wataobaki wote watajulikana kuwa ni HamasHapo hata hamas watahama. Labda kama lengo la israiel ni kuwakusanya wote huko walikoshauri wahamie kisa wawateketeze huko huko bila kuhalisha nani ni adui au nani ni rafiki
Vita kati ya Israel na majirani zake ngumu kuimaliza sababu anapigana na watu wasio na jezi wala alamaHAMAS wameapa kutoondoka na kwamba wamejichimbia, hivyo tunataka kushuhudia vita baina wajitoa mhanga kwa pande zote.
Siku zote tumezoea watu wa upande mmoja kujinasibu kama wenye utashi wa kujitoa mhanga, sasa wanakuja machizi mara kumi zaidi yao, ambao kufa kwao ni baraka maana wanapigania kizazi chao cha leo na siku za usoni.
Wale wanajifanya vichwa ngumu, wamekutana na chuma cha puaKwani Hamas nao hawaogopi kifo?Na wao watakimbilia tu kasikazini,kuepusha dhahamu[emoji848]
Katika ujinga wa karne uliofanyika ni HAMAS kuivamia Israel na kuwaua raia namna ile na kuwateka. Sijui ni nani aliwaaminisha ama aliwahamasisha kufanya such terror attack.Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
SEMA Hamas walijuwa kabisa matokeo ya Wanacho kifanyaIsrael inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
Kwa hiyo ulitaka akili kitu ambacho hajafanya? hata Marekani alisema ya kuwa hakuna ushahidi wowote unao ihusisha Iran na ambush hiyo na wala ilikuwa haijui chochote kuhusu ambush hiyo hata wao iliwashutua.Nilimuona Ayatollah wao anaongea kwa upole akikana kuhusika.Hao maneno ya mdomoni huwa mengi lakini vitendo sifuri.Kama wanajiamini kwanini sasa wanakana kuhusika kuwasaidia HAMAS kwa lile tukio la Jumamosi.Nilidhani ungekuwa ndiyo muda wao mzuri wa kuwavimbia Israel kuwa ndiyo wamehusika.
Kwahiyo siku za ibada wanajeshi wanaacha kilinda nchi badala yake wanaenda kwenye ibada, kweli hilo ni jeshi la kushangaza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2].Aibu gani?. Kuvizia watu wapo kwenye ibada na sherehe ndio aibu. Jumamosi ni siku ya ibada kwa Israel, Hamas wakalijua Hilo, so wakaona wachukue mateka na kuua watu. Sasa ngoja tuone mwisho maana Israel akichukua eneo lote la Gaza, hasara itakuwa kwa Hamas.
Mkuu vita sio kucheza ngoma ww subiri Israel haanze uvamizi wa ardhini ndo utanielewa sasa hivi huwezi nielewa kwa sababu ya mihemko.Nadhani mwisho wa Hamas umefika, wamechekewa muda mrefu wakaota mapembe.
Siyo kihivyo.Wote wanaoondoka wanafuatiliwa.Sasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kimsingi ni kosa kubwa sana kushangilia vita sehemu yoyote. Binafsi katika maombi yangu kwa Mungu kila nikipiga magoti ni kuombea amani ya nchi yetu. Hali ni mbaya sana huko hata hapo Kongo tu.Hii vita ukisoma kwenye mitandao unaweza kushangilia na kushabikia Ila ukikaa ukaanza kufatilia kipitia al Jazeera utatokwa na machozi tu
Haaaa watu wanadhani vita ni sawa nakucheza ngoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Vita sio game km la Man U vs Man City....
Unachopanga sio ndio kitakachotokea, ....
Naona wachambuzi uchwara wengi wakihemka na tabiri zao za kimhemko...
Only the dead saw the end of the war.
Tuandae popcorn za kutosha, kwani hili ni movie ni ndefu , ambapo jasho na damu nyingi itamwagika, only the battle hardened might prevail.
Nimesoma hoja zako hakuna sehemu umesema walichokifanya Hamas kuua raia si sahihi ila umesema watu wa Israel waliuwawa sababu ya udhaifu wa jeshi lao. Inshort "You stand with HAMAS".Haaaa watu wanadhani vita ni sawa nakucheza ngoma[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Vita sio lele mama na ndio maana mpaka sasa Israel haijaingia gaza bado inajipanga vizuri.
Tatizo watu akiona mavifaru,magari makubwa wanaogopa bila ya kujua kuwa mbele ya ant_tank ni sawa na kibox kinacho tembea.
Humanitarian ndiyo Jambo muhimu MUNGU anataka sio hizi dini zetu...Kimsingi ni kosa kubwa sana kushangilia vita sehemu yoyote. Binafsi katika maombi yangu kwa Mungu kila nikipiga magoti ni kuombea amani ya nchi yetu. Hali ni mbaya sana huko hata hapo Kongo tu.
Sijui tumekuwa na kizazi cha namna gani nchi hii. Anzia ile vita ya Urusi na Ukraine, kulikuwa na mashabiki wengi sana aasa wamehamia hiyo ya Palestina na Israel mbaya hii imekaa kidini. Waislam na Wakristo kila.mmoja anavutia uoande wake. Eeehh Mungu saidia hiki kizazi chetu. Hali ni mbaya sana.
Hamas wamemtengenezea Israel mazingira ya kufanya chochote.Nadhani mwisho wa Hamas umefika, wamechekewa muda mrefu wakaota mapembe.
Mungu atusaidie ila.sio kitu cha kuombea mkuu. Hali ni mbaya, Mungu atuepushie mbali na vita.Humanitarian ndiyo Jambo muhimu MUNGU anataka sio hizi dini zetu...
Mauaji yanayotokea Gaza haifai kushabikia hata kidogo ingawa wabongo wengi naona wamefanya ushabiki kama wa Simba na yangq
Shambulio lililofanywa na Hamas ni historical,Nadhani mwisho wa Hamas umefika, wamechekewa muda mrefu wakaota mapembe.