Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Ww boya kweli yaani Hamas wajifiche kwenye majengo ili wauwawe badala ya kwenye mahandaki?Kwani Hamas wanaishi wapi CYO kwenye majengo.
Uwezo mdogo wa kureason. Madrasa Ni shida! Kufundishana fujo tu
Hamas ishachukuliwa tusubirie itapewa jina jipya. Au vinginevyoHapo hata hamas watahama. Labda kama lengo la israiel ni kuwakusanya wote huko walikoshauri wahamie kisa wawateketeze huko huko bila kuhalisha nani ni adui au nani ni rafiki
Wanajeshi laki 3 si ndio idadi nzima ya wayahudi?Israel inataka kufanya operesheni ambayo haijashuhudiwa siku nyingine, wanajeshi 300,000 watafanya uvamizi ambao utahusu kufagia choko choko zote za huo ukanda. Raia waliamrishwa wahamie Kusini ili atakayebaki hapo ataonwa kama mpiganaji, hivyo itamhusu.
Kitu wengi wasichokifahamu, hao wanajeshi 300,000 sio wa kawaida, ni aina ya watu ambao wapo tayari kujitoa mhanga maana nchi yao na vizazi vyao siku zote huwa kwenye hatari ya kufutwa na waarabu ambao huongozwa na chuki za dini, hivyo hawa Wayahudi wanataka kuingia kwenye ukombozi kwa ajili ya mama zao, watoto wao, familia zao, yaani wana mzuka balaa, na kuna wengi wamerudi kutoka mataifa ya mbali kwa ajili ya hii operesheni.
Kwa hivyo wazee wa kujitoa mhanga kisa dini wanakwenda kupambana na wanajeshi ambao wapo tayari kujitoa mhanga mara kumi yao, ambao kifo kwao sio issue, kama ni uchizi na wao wamechizi mara kumi, hamna jipya.....yetu macho maana dunia inakokwenda sio kabisa.
=============================
Nearly 1,900 Gazans have been killed in waves of Israeli missile strikes.
As Israel's deadline for Palestinians to evacuate the Gaza strip is approaching, thousands of Gazans are fleeing their homes fearing the deadliest ground offensive they have ever witnessed in their lives. Israeli PM Benjamin Netanyahu warned that Israel's week-long retaliation against Hamas' "surprise" attack last week was "just the beginning". Over a million Gazans face a 24 hours deadline on Friday to flee to the south even as many chose to stay back as Hamas has vowed to dug its heels in and fight "to the last drop of blood". Ahead of the deadline ending, Israeli forces made "localised" raids in Gaza in the last 24 hours "to cleanse the area of terrorists" and try to find "missing persons".
Israel-Hamas War LIVE: Israel Strikes Killed 9 Hostages In Past 24 Hours, Says Hamas
Israel-Hamas War Live Updates: Israeli Defence Forces have issued a fresh warning to Palestinians in Gaza, telling the residents to leave their homes and not return till further notice as Israel mounts its biggest counteroffensive on Gazan soil.www.ndtv.com
Hamas mahesabu yao ni kwamba baada ya kuangamiza watu na kuteka mamia ya raia basi, Israel itafyata na kutaka Ku negotiate ili raia wake waachiwe .Sasa myahudi akipiga mahesabu ya raia wake 1300+ wameangamizwa na mashambulizi ya hichi kikundi cha hamas ,jamaa wameona this is too much ,we don't negotiate with terrors how long will they stay with this situation .Njia pekee ambayo inakataka kufanya ni kukifutilia mbali hichi Kikundi na ndio maana imetoa open door kama unajipenda nenda Gaza ya kusini ila baada ya hapo wasilaumiane .Israel inaenda kutoa somo Gaza kama somo lakihistoria kwa yeyote anaye chezea sharubu zake ndivo itakovyo mpata.SEMA Hamas walijuwa kabisa matokeo ya Wanacho kifanya
Hujui kinachoenda kufanyika!! Wao hata wakijichanganya hawatoondoka na silaha, na Israel wanachotaka kukifanya Gaza, ni kubomoa mahandaki yote wanayotumia kujifichia na kuwekea silaha!! Ili hata baada ya vita hiyo, kama wakionewa huruma kurudi huko, wasiwe na madhara, japo czani hilo kama litatokea!!! Kwani Netanyau anasema zamu hii gaza lazima iwe na sura mpyaSasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Hapa ndo nikajua kumbe muarabu na mwafrika ni heri mwafrika.Kiongoz wao yuko Doha Qatar anakula bata hotelin. Wakati masikin wa kipalestina aliowasababishia msala wanateketea.
Asalamaleko!Hakika Mwenyezi Mungu ni shahidi kwa yale mmayoyapitia ndugu zangu wapalestina. Bila shaka haki yenu mtaipata siku ya kuyama. Kwa hakika Mwenyezi Mungu ni hakimu juu ya mahakimu
Usilete utani na mambo ya diniAsalamaleko!
Takbir Takbirr Takbirrr
Embu njoo tunywe alkasusu sheikh, wapalestina wenzetu hatupaswi kuwawaza, wenzetu sasa hivi huko akhera walipo wanafaidi zile bikira.
Wakiingia ardhini mtasema subiri waende majini.Mkuu vita sio kucheza ngoma ww subiri Israel haanze uvamizi wa ardhini ndo utanielewa sasa hivi huwezi nielewa kwa sababu ya mihemko.
Una juwa ni idadi kiasi gani cha wana jeshi wa Israel walio pelekwa kwenda kupambana na hao wanamgambo1500 unao wasema?Wakiingia ardhini mtasema subiri waende majini.
Kwani wale 1500 waliovamia Israel si walifyekwa wote hukohuko ardhini waliofanikiwa kurudi Gaza ni kama 500 tu!
Israel ni mzuri sana kwenye vita ya mtaa kwa mtaa, maana wanaomzunguka ndiyo mbinu wanayoitumia baada ya kuona hawamuwezi kwa uwezo wabkijeshi.
Hata US kipindi kile wanaenda Iraq then Afghanistan walikua wakipeleka Soecial Forces Israel kwenda kuwa trained kwenye vita ya mtaa kwa mtaa kukiwa na mchanganyiko na raia.
Kabla haujachangia uwe unajishughulisha kidogo.
Mmeshakaa na kuanza kubuni visa. Hata akipeleka askari 10,000, tatizo liko wapi? Ikiwa uwezo huo anao? Jeshi lao lina askari active 169,500. Unashangaa kupeleka askari 8,000 kupambana na magaidi wanaopita nyumba kwa nyumba wakibaka, wakichinja, wakipiga na kupiga watu risasi hovyo?Una juwa ni idadi kiasi gani cha wana jeshi wa Israel walio pelekwa kwenda kupambana na hao wanamgambo1500 unao wasema?
Israel ilipeleka zaidi ya wanajeshi 8,000 kwenda kupambana na hao wapiganaji na wapiganaji wengi hawakuwa na silaha za kutosha na bado wengi walikuwa na bastora na sio bunduki.
Mshindi anapatikanaje? Israel ilitaka ku accomplish nini na Hamas alitaka ku accomplish nini? Tatizo lenu wakisitisha mashambulizi tu mnakimbilia kusema ameshindwa.Alafu kingine unacho takiwa kujua ni kuwa hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Israel na Hamas kupigana ground bettle mwaka 2014 wamepigana ground bettle zaidi ya mwezi mzima na bado hakupatikana mshindi hivyo hakuna geni.
5 typing errorHelicopter inabeba watu 50!!!!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye anaingia na kutoka hata leo alikuwa mpakan. Na waziri mkuu aliyepita yuko front line. Unajua waarabu walikuwa wanajiona wao ni wazee wa kujitoa mhanga wamekuta muisrael yuko tayar kufa mara kumi yake ndipo alipochoka. Jews wanapambana ile ya survive of the fittest. Akishindwa wanafutwaYa kwamba Netanyau atakuwa moja wapo ya watakao kwenda gaza kupambana na hamas au unamanisha nn?
Nimeona manowari za jeshi la US zikiwa zimesheni ndege vita za kutosha. Siku ambayo US atakua mkweli, akasema Israel iheshimu mipaka, walowezi waondoke maeneo yasiyo ya kwao la sivyo hakuna support, kwa vyovyote Israel hataweza. Pamoja na shida za Hamas, mgogoro huu unachangiwa na mataifa ya Magharibi. Israel peke yake HANA UBAVU, ni jambo lililo wazi. Kujua hilo MOSSAD walikua wapi wakati HAMAS anapenya kwa magendo? Kwa hiyo roure cause ya huu mgogoro ni kupuuzia mipaka ya mataifa hayo mawili ambayo kihistoria ni ndugu kabisa.Waajemi wanachungulia without any comment. May be watafanya surprise attacks kuifuta Israel kwenye uso wa dunial kama wanavyojiapiza daily!
This is not trueYeye anaingia na kutoka hata leo alikuwa mpakan. Na waziri mkuu aliyepita yuko front line. Unajua waarabu walikuwa wanajiona wao ni wazee wa kujitoa mhanga wamekuta muisrael yuko tayar kufa mara kumi yake ndipo alipochoka. Jews wanapambana ile ya survive of the fittest. Akishindwa wanafutwa
Wapelestina wengi wamegoma kuhama, wamesema tutafia majumbani kwetu. Kuhamisha wapelestina zaidi ya millions moja ni ndoto ya mchana- utter madness. Wounded bull Israel runs amok-soon to be slaughtered in the tunnels of Gaza.Sasa hata raia wakiondoka hao hammas siwatajichanganya na raia na wenyewe wataondoka nao
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app