Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Kampeni ya Mama asemewe imeadhimisha sikukuu ya Wanawake mkoani Mwanza kwa kuandaa Kongamano kubwa la BINTI WA LEO, SAMIA WA KESHO ambapo lilikusanya takribani Mabinti 2000 kutoka Vyuo mbalimbali mkoani Mwanza.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Akizungumza katika Kongamano hilo lililofanyika leo tarehe 8 Machi 2025 Jijini Mwanza Makamu mwenyekiti wa Kampeni hiyo ndg Verynancy Mrema alipongeza juhudi mbalimbali ambazo zinafanywa na Serikali katika kuwainua Wanawake Kiuchumi na kuwapa fursa katika maeneo mbalimbali ikiwemo Ushirikishwaji wao katika Siasa na Uongozi.