Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Kwamba iko hivyo au haiko hivyo ila uhalisia ni kuwa una kiwango Cha kawaida sana Cha akili na uwezo wa kuzuia hisia

Inawezekana kuwa mleta mada akawa sahihi lakini mtindo mpya wa maisha umeathiri jamii yote iwe wazungu au waafrika Sasa hizi hoja kuwa wazungu wanataka kuondoa kizazi Cha waafrika sidhani kama ni sawa.
Bidii kubwa sana inafanywa kupambana na magonjwa duniani na kuweza kumudu mabadiliko ya tabia nchi hatuwezi kujificha katika hisia na kurudisha nyuma bidii hizo
Reasoning yako na ufahamu wako mkuu ni mdogo Sana kuhusu Dunia,you need to learn more.
 
Ni kweli. Side effect ya bidii kama ya mbu wa kisasa wangeziweka wazi. Maana tumeona mambo mengi ya kisasa yanakuja na side effect.
Lazima zitakuwa zimewekwa hiyo ni sheria katika huduma zote za afya hata dawa tunazonunua huwa zimeweka hizo side effects
Ukienda nchi kama SA Kuna hao mbu na ni zero malaria Wala population Yao haijawahi kupungua ndio number kubwa zaidi ya jamii zingine mtu mweusi au muafrika kama anavyojulikana ni sehem ya watu walioko duniani na hakuna mtu anaweza kumuangamiza kwa namna yoyote na kama akijaribu basi nae hatakuwa salama
 
Reasoning yako na ufahamu wako mkuu ni mdogo Sana kuhusu Dunia,you need to learn more.
Kitu pekee unaweza ni ku attack personality ili wanaokuja kuchangia wakubaliane na hoja zako na ndio maana nasema hoja zako ziko kwenye hisia na hivyo unatumia hisia kushinikiza hoja Yako ikubaliwe bado nabaki na msimamo wangu
Wewe una akili kidogo hisia nyingi.
 
CHANZO NI BBC SWAHILI

Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni inayoua watoto wa kike kabla ya kukomaa.

Mbu jike pekee ndio wanaouma na kusambaza malaria na magonjwa mengine ya virusi.

Ni mara ya kwanza kwa mbu wa aina hiyo kutolewa Afrika Mashariki na mara ya pili barani humo.

Teknolojia kama hiyo imetumika kwa mafanikio nchini Brazil, Visiwa vya Cayman, Panama, na India, kulingana na Vituo vya Marekani vya Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC).

Zaidi ya mbu kama hao bilioni moja wameachiliwa kote ulimwenguni tangu 2019, CDC inasema.

Kundi la kwanza la mbu hao waliachiliwa hewani siku ya Alhamisi huko Ambouli, kitongoji cha jiji la Djibouti.

Ni hatua ya majaribio katika ushirikiano kati ya Oxitec Ltd, serikali ya Djibouti na shirika lisilo la kiserikali la Mutualis.

“Tumetengeneza mbu wazuri wasiouma, wasioambukiza magonjwa. Na tunapowaachilia mbu hawa rafiki, wao hutafuta na kujamiiana na mbu wa kike mbaya,” mkuu wa Oxitec Gray Frandsen aliambia BBC.

Mbu hao wanaozalishwa katika maabara hubeba jeni ya "kujizuia" ambayo huzuia watoto wa mbu wa kike kuishi hadi utu uzima wanapooana.

Ni watoto wao wa kiume pekee wanaosalia lakini hatimaye wangekufa, kulingana na wanasayansi wa mradi huo.

Tofauti na mbu dume aina ya Anopheles colluzzi waliotolewa nchini Burkina Faso mwaka wa 2018, mbu hao rafiki wa stephensi bado wanaweza kupata watoto.

Kuachiliwa kwa mbu hao ni sehemu ya Mpango Rafiki wa Mbu wa Djibouti ambao ulianzishwa miaka miwili iliyopita ili kukomesha kuenea kwa Anopheles stephensi, aina vamizi ya mbu waliogunduliwa kwa mara ya kwanza nchini humo mwaka 2012.

Wakati huo nchi ilikuwa kwenye hatihati ya kutokomeza malaria, wakati ilirekodi karibu visa 30 vya malaria. Tangu wakati huo, kesi za malaria zimeongezeka kwa kasi nchini hadi 73,000 kufikia 2020.

Spishi hiyo sasa ipo katika nchi nyingine sita za Afrika - Ethiopia, Somalia, Kenya, Sudan, Nigeria na Ghana.

MY TAKE:
Naomba niseme yafuatayo bila kupepesa macho na bila kumuogopa yoyote,kwa kuwa huu ni uovu wa kupindukia.
1.Hakuna aliyethibitisha kwamba yaliyo ripotiwa kwenye matokeo ya awali ya utafiti wa mradi huo ni kweli.Hata hivyo kutokana na taarifa za ndani za Oxitec,na tabia ya Oxitec,tunajua matokeo hayo yamepikwa na zipo ajenda ya siri ya mauaji ya halaiki.
2.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa ni waovu kupindukia.
3.Viongozi waliokubali kuachiwa mbu hawa wamehongwa pesa nyingi.
4.After all they have always intended to exterminate Africans,and this is another chance come true.
4.Viongozi waliokubali kuachiwa kwa mbu hawa au kwa kujua au kutokujua wanashiriki kwenye mpango mwovu kabisa wa kuwau binadamu kwa wingi kwa njia zifuatazo:-
i)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Malaria isiyo na tiba.
ii)Kuzalisha aina ya Mbu ambao watasambaza Dengue isiyo na tiba.
3.Mbu hawa watatumiwa kama sindano zinazotembea wakisambaza sumu, magonjwa na chanjo za aina mbali mbali zilizolengwa na Globalists kwa bibadamu ikiwa pamoja na chanjo ya Corona bila ridhaa ya mtu.Sindano hizo zinazo-fly kiufupi zitakuwa janga la Dunia na binadamu.

Nimalizie kwa kusema hivi,Shetani ameamua "total onslaught" on humanity.Kwa hiyo nitoe rai kwamba sasa msaada wetu kama binadamu unatoka kwa Mungu tu.Kwa hiyo kila mmoja wetu kama binadamu, amgeukie Mungu na kumlilia kwa msaada.
yani kuna vitu havimake sense, yani BBC ndio iwe source ya taarifa hizi za ushetani wa wazungu.. Weka link watu wakasome pia, acheni kuleta taharuki kwa watu, we mwenyewe unakuwa kama wakala wa shetani vile.
 
Majaribio kama haya ndiyo yaliletaga virus wa ukimwi na Covid hadi leo imekuwa changamoto ku eliminate.
 
Kitu pekee unaweza ni ku attack personality ili wanaokuja kuchangia wakubaliane na hoja zako na ndio maana nasema hoja zako ziko kwenye hisia na hivyo unatumia hisia kushinikiza hoja Yako ikubaliwe bado nabaki na msimamo wangu
Wewe una akili kidogo hisia nyingi.
Wala si-attack personality,I attack distortion ya makusudi kama hii iliyomo kwenye comment yako.

Ukisema comments zangu ziko based kwenye hisia,si kweli that is distortion.Mimi ni msomi na mwana sayansi mzuri sana,so whatever I bring here is based on my scientific knowkedge,my personal research experience and research experience of other scientists,so it is authentic.Infact I must say that wewe ndiye ambaye reasoning yako iko based on only your feelings or directives of your handlers,not on any reasonable scientific reasoning.
 
Majaribio kama haya ndiyo yaliletaga virus wa ukimwi na Covid hadi leo imekuwa changamoto ku eliminate.
Umesahau Polio,Cholera,Typhoid nk. mkuu.Na wala hayakuwa majaribio, it was deliberate murder.Yaani it seems wanaoitwa Wazungu hamwajui,they are inherently evil.
 
yani kuna vitu havimake sense, yani BBC ndio iwe source ya taarifa hizi za ushetani wa wazungu.. Weka link watu wakasome pia, acheni kuleta taharuki kwa watu, we mwenyewe unakuwa kama wakala wa shetani vile.
Hivi kuwa alert watu kuwa kuna hatari unayokuja ni kuleta taharuki.Kama hii ni kuleta taharuki,anzia na TMA kwanza,waache tabia zao za kutuambia eti kuna mvua kubwa inakuja,oo sijui kuna kimbunga Hidaya,anza na hao ndio uje kwangu.

Lakinii,hivi kumuambia mtu njia hii unayopitia ina hatari ni vibaya kweli, sidhani,infact kutomuambia ndio vibaya, kwa kuwa una nia ovu ya kutaka adhurike.So in simple terms,wewe una nia ovu ya kutaka watu wadhurike.I can as well conclude that you are serving the devil.
 
Hivi kuwa alert watu kuwa kuna hatari unayokuja ni kuleta taharuki.Kama hii ni kuleta taharuki,anzia na TMA kwanza,waache tabia zao za kutuambia eti kuna mvua kubwa inakuja,oo sijui kuna kimbunga Hidaya,anza na hao ndio uje kwangu.

Lakinii,hivi kumuambia mtu njia hii unayopitia ina hatari ni vibaya kweli, sidhani,infact kutomuambia ndio vibaya, kwa kuwa una nia ovu ya kutaka adhurike.So in simple terms,wewe una nia ovu ya kutaka watu wadhurike.I can as well conclude that you are serving the devil.
Acha kulinganisha vitu ambavyo mzani wake hauwezi balance kifikra, ushasema TMA, ni chombo rasmi na kipo kisheria kwaajili ya hayo mambo, haya wewe ni Wizara ya Afya? Ni mtafiti wa magonjwa serikalini? Au kitengo cha habari Wizarani? Umepima uzito wa hilo andiko lako kwa watu watakao lisoma? Umeripoti wizarani kuwa kuna hili jambo umekutana nalo na ukajua ukweli wake?

Hakuna mwenye nia Ovu na kila mtu anapenda maisha yenye amani na furaha, magonjwa ni umasikini hivyo hakuna anayependa aumwe, weka link tuprove hiyo story imetoka BBC sio unacite source kusindikiza story zako za kutunga, na pia kama una huruma na jamii yako, kuna hatua unapaswa kupiga, nayo ni kufika kwenye wizara husika kuliongea hili, kusudi likiwa kuwafikiwa Watanzania wengi zaidi.
 
Back
Top Bottom