Maelfu ya mbu waliobadilishwa vinasaba (GMO) wameachiliwa nchini Djibouti katika kukomesha kuenea kwa spishi vamizi malaria

Reasoning yako na ufahamu wako mkuu ni mdogo Sana kuhusu Dunia,you need to learn more.
 
Ni kweli. Side effect ya bidii kama ya mbu wa kisasa wangeziweka wazi. Maana tumeona mambo mengi ya kisasa yanakuja na side effect.
Lazima zitakuwa zimewekwa hiyo ni sheria katika huduma zote za afya hata dawa tunazonunua huwa zimeweka hizo side effects
Ukienda nchi kama SA Kuna hao mbu na ni zero malaria Wala population Yao haijawahi kupungua ndio number kubwa zaidi ya jamii zingine mtu mweusi au muafrika kama anavyojulikana ni sehem ya watu walioko duniani na hakuna mtu anaweza kumuangamiza kwa namna yoyote na kama akijaribu basi nae hatakuwa salama
 
Reasoning yako na ufahamu wako mkuu ni mdogo Sana kuhusu Dunia,you need to learn more.
Kitu pekee unaweza ni ku attack personality ili wanaokuja kuchangia wakubaliane na hoja zako na ndio maana nasema hoja zako ziko kwenye hisia na hivyo unatumia hisia kushinikiza hoja Yako ikubaliwe bado nabaki na msimamo wangu
Wewe una akili kidogo hisia nyingi.
 
yani kuna vitu havimake sense, yani BBC ndio iwe source ya taarifa hizi za ushetani wa wazungu.. Weka link watu wakasome pia, acheni kuleta taharuki kwa watu, we mwenyewe unakuwa kama wakala wa shetani vile.
 
Majaribio kama haya ndiyo yaliletaga virus wa ukimwi na Covid hadi leo imekuwa changamoto ku eliminate.
 
Wala si-attack personality,I attack distortion ya makusudi kama hii iliyomo kwenye comment yako.

Ukisema comments zangu ziko based kwenye hisia,si kweli that is distortion.Mimi ni msomi na mwana sayansi mzuri sana,so whatever I bring here is based on my scientific knowkedge,my personal research experience and research experience of other scientists,so it is authentic.Infact I must say that wewe ndiye ambaye reasoning yako iko based on only your feelings or directives of your handlers,not on any reasonable scientific reasoning.
 
Majaribio kama haya ndiyo yaliletaga virus wa ukimwi na Covid hadi leo imekuwa changamoto ku eliminate.
Umesahau Polio,Cholera,Typhoid nk. mkuu.Na wala hayakuwa majaribio, it was deliberate murder.Yaani it seems wanaoitwa Wazungu hamwajui,they are inherently evil.
 
yani kuna vitu havimake sense, yani BBC ndio iwe source ya taarifa hizi za ushetani wa wazungu.. Weka link watu wakasome pia, acheni kuleta taharuki kwa watu, we mwenyewe unakuwa kama wakala wa shetani vile.
Hivi kuwa alert watu kuwa kuna hatari unayokuja ni kuleta taharuki.Kama hii ni kuleta taharuki,anzia na TMA kwanza,waache tabia zao za kutuambia eti kuna mvua kubwa inakuja,oo sijui kuna kimbunga Hidaya,anza na hao ndio uje kwangu.

Lakinii,hivi kumuambia mtu njia hii unayopitia ina hatari ni vibaya kweli, sidhani,infact kutomuambia ndio vibaya, kwa kuwa una nia ovu ya kutaka adhurike.So in simple terms,wewe una nia ovu ya kutaka watu wadhurike.I can as well conclude that you are serving the devil.
 
Acha kulinganisha vitu ambavyo mzani wake hauwezi balance kifikra, ushasema TMA, ni chombo rasmi na kipo kisheria kwaajili ya hayo mambo, haya wewe ni Wizara ya Afya? Ni mtafiti wa magonjwa serikalini? Au kitengo cha habari Wizarani? Umepima uzito wa hilo andiko lako kwa watu watakao lisoma? Umeripoti wizarani kuwa kuna hili jambo umekutana nalo na ukajua ukweli wake?

Hakuna mwenye nia Ovu na kila mtu anapenda maisha yenye amani na furaha, magonjwa ni umasikini hivyo hakuna anayependa aumwe, weka link tuprove hiyo story imetoka BBC sio unacite source kusindikiza story zako za kutunga, na pia kama una huruma na jamii yako, kuna hatua unapaswa kupiga, nayo ni kufika kwenye wizara husika kuliongea hili, kusudi likiwa kuwafikiwa Watanzania wengi zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…