mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,309
- 4,798
Kuna video hapo.Duuh hatari, weka na kapicha mkuu
Kuna Watu wanatutegea kwenye swala zima la Uzalendo,hao Wadudu wamepitia wapi hadi wakaibukia hapo Tabata!? Mamlaka husika ziingie kazini haraka sana,ili tuwajuwe wasaliti!!Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo hilo linazidi kubadilika kutokana na uharibifu wa nzige hao.
Pia wameiomba Wizara husika kuangalia namna ya kuangamiza wadudu hao hatari kabla hawajaleta dhahama kubwa zaidi.
Kuna haki za wadudu, dunia siyo yetu peke yetu hii. Wangetenga maeneo ya kucheza na kuishi wadudu.Katika hali ya mstuko, wadudu jamii ya nzige wamevamia mazao eneo la Sukita huko Tabata. Wameleta uharibifu kama wa kutafuna miti, mahindi na mboga za majani.
Wakazi wa eneo hilo wamesema kwamba nzige hao wamevamia eneo lenye kijani kibichi usiku wa kuamkia leo na muda unavyozidi kusogea eneo hilo linazidi kubadilika kutokana na uharibifu wa nzige hao.
Pia wameiomba Wizara husika kuangalia namna ya kuangamiza wadudu hao hatari kabla hawajaleta dhahama kubwa zaidi.
Kipindi sijajua nzige ni nini nilikuwa nikifikiri ni wadudu fulani hivi amaizing kama nyuki si nyuki lkn kumbe nzige ndo panzi..[emoji1787]
Panzi=GrasshopperKipindi sijajua nzige ni nini nilikuwa nikifikiri ni wadudu fulani hivi amaizing kama nyuki si nyuki lkn kumbe nzige ndo panzi..🤣
Panzi ni panzi tu haijalishi anasura gani..🤣Panzi=Grasshopper
Nzige=Locust.
Wanafanana kwa kiasi Fulani.
Kwenye practical za bios ,wanafunzi tulikuwa wakituchanganya kiasi
Mkuu mimi mwenyewe wewe ndo umenifumbua macho sikujua kuwa nzige ndo panzi hawa hawa ninaowajua.Kipindi sijajua nzige ni nini nilikuwa nikifikiri ni wadudu fulani hivi amaizing kama nyuki si nyuki lkn kumbe nzige ndo panzi..[emoji1787]
Nzige ni panzi waliochangamka, ni kama wamevuta bangi wanakula chochote kilichoko mbele yaoMkuu mimi mwenyewe wewe ndo umenifumbua macho sikujua kuwa nzige ndo panzi hawa hawa ninaowajua.
Kwa hiyo nzige ni panzi wa kizungu!Nzige ni panzi waliochangamka, ni kama wamevuta bangi wanakula chochote kilichoko mbele yao
View attachment 1637674