Maelfu ya nzige yavamia mazao Tabata Sukita

Kundi la wadudu aina ya panzi ( nzige) wamevamia mashamba na bustani katika eneo la sukita Tabata kando kando ya mto msambazi jijini Dar es salaam.

Wakazi wa eneo hilo wameomba wataalamu wa wizara ya kilimo wafike haraka kufanya uchunguzi na hatimaye kuwaangamiza kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Chanzo: ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa hiyo nzige ni panzi wa kizungu!
Ninakumbuka kuna inzi wa kizungu, wana rangi ya bluu hivi.
Kuna sehemu nilisoma ni Panzi tu wa kawaida, shida wakikusanyika wengi wakati wanatafuta chakula kuna kemikali inaitwa serotonin ndio inaongezeka na ndio wanaanza kupata mabadiliko ya kibaiolojia na kuwafanya waanze kula zaidi chakula na kukua
 
Kuna sehemu nilisoma ni Panzi tu wa kawaida, shida wakikusanyika wengi wakati wanatafuta chakula kuna kemikali inaitwa serotonin ndio inaongezeka na ndio wanaanza kupata mabadiliko ya kibaiolojia na kuwafanya waanze kula zaidi chakula na kukua
Kwa binadamu, serotonin ni homoni ya furaha (happy hormone) ambayo hutengenezwa na pineal gland. Lakini pamoja na kuleta furaha ya mwili wa binadamu pia hupunguza nguvu za tendo la ndoa! Kwa nzige mimi sijui.
 
Mkuu mimi mwenyewe wewe ndo umenifumbua macho sikujua kuwa nzige ndo panzi hawa hawa ninaowajua.
Na dawa yao hao ni Bata tu.. hapo inatakiwa liandaliwe jeshi la bata waingie vitani..
 
Duh, sasa watakua wametoka wapi hadi waje watue Tabata?, why not Kimara,Masaki 🤔(just thinking out loud) au wamezaliana hapo hapo but why waonekane usiku wa leo tu?
 
Panzi=Grasshopper
Nzige=Locust.

Wanafanana kwa kiasi Fulani.
Kwenye practical za bios ,wanafunzi tulikuwa wakituchanganya kiasi

Weka picha ya locust na grasshopper
 
Panzi=Grasshopper
Nzige=Locust.

Wanafanana kwa kiasi Fulani.
Kwenye practical za bios ,wanafunzi tulikuwa wakituchanganya kiasi

Weka picha ya locust na grasshopper
 
Mkuu hill la kubaka linawezekana vipi wakati viumbe vyenyewe vidogo hivyo! Kweli bangi si nyanya..😂
Waulize wenzio uliokaribu nao. Enzi zile tulikua kukiwakamata panzi Kama sport. Kile kitendo Cha kujirusha na kumtia kwenye kiganja tulikua tunaita kumbaka.
 
Duh, sasa watakua wametoka wapi hadi waje watue Tabata?, why not Kimara,Masaki [emoji848](just thinking out loud) au wamezaliana hapo hapo but why waonekane usiku wa leo tu?
Wapinzani hao. Sijui wanaitakia nini nchi yetu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…