Maelfu ya Raia wa kigeni wanaikimbia Afrika Kusini kukwepa wimbi la mashambulizi ya kibaguzi

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakati muda wa mwisho uliowekwa na makundi yanayopinga wageni nchini Afrika Kusini unakaribia, maelfu ya raia wa kigeni wanakusanya virago na kuondoka.

Makundi hayo yametoa muda wa hadi Juni 30 kwa raia wote wageni kurejea makwao wakisema baada ya muda huo watafanya msako na kutumia nguvu.

Soma Pia: Rais Ramaphosa: Afrika Kusini hawana chuki dhidi ya wageni

Wiki za hivi karibuni, matukio ya kuwanyanyasa raia wa kigeni yameongezeka Afrika Kusini, hali iliyozusha ukosoaji kutoka mataifa mengi ya Afrika.

Subili wazungu waondoe mitaji yao watabaki na ufahari wa miundombinu ambayo hawajajenga wao
 
Waiting
images (4).jpeg
 
Subili wazungu waondoe mitaji yao watabaki na ufahari wa miundombinu ambayo hawajajenga wao
Tanganyika tukiondoa Wapemba huku Bara hatutapata hasara,kuna wakati huwa natamani morale waliyo nayo hao jamaa ihamie Bongo.
 
Wapemba Huku ni mzigo na biashara zao za magendo
Ni ujinga kuwaza kuwafukuza Wapemba 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎

Wapemba Waunguja wameoana na ndugu zao Waislam wa Bara kwa miaka mingi !!

Mwalimu Nyerere alijua aya nakuonyo kosa kama ilo.

na akasema nini kitatokea Nyerere alikuwa mbele ya Muda👈

Kitakachokatokea ni kufukuzwa watu kutokea Bara wote maeneo ya pwani ✅️

ambao Chuki zao kutokea makwao uko Bara !!!

na Dini yao yamagumashi zimewapofusha nakujisaau!!

ivyo sasa wanataka kukata tawi Waliokalio wenyewe!!

Wenyewe sio wenyeji pwani¿¿¿

lkn eti wanataka kuwafukuza wenyeji wenye pwani yao pamoja na Uchache wao maeneo ya pwani.‼️
Ndugu iyo Siku mtalia kilio cha mbwa koko..🤠🤠🤠🤠

mana mtaondoka kama mlivokuja na mifuko ya Rambo tu.

Shubamit zenu.
 
Back
Top Bottom