Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Kwa nini maislamu yanakimbilia kwa muuaji mjerumani?
Muislam hahamishi kosa la mmoja kwa mwengine, hata mkiwa baba mmoja mama mmoja.

Pia tunaamini kwenye tatizo ndiyo kwenye fursa.

Unazielewa R 4 za mama Samia?
 
Wewe pia kuna muda akili huwa zinakutoka, jiuliwe wewe ni warabu? Au huo ujinga wenu hujui kuwa umetoka kwa waarabu! Jaribu kujipa thamani wewe kama wewe na siyo hayo majitu. Mbona ni mzee na una elimu lakini unajifana kama Lucas Mwashambwa
Lucas Mwashambwa wa Dini😆
 
Wewe pia kuna muda akili huwa zinakutoka, jiuliwe wewe ni warabu? Au huo ujinga wenu hujui kuwa umetoka kwa waarabu! Jaribu kujipa thamani wewe kama wewe na siyo hayo majitu. Mbona ni mzee na una elimu lakini unajifana kama Lucas Mwashambwa
Mimi ni mstaarab.

Vipi wewe, siyo mstaarabu?
 
Acha urongo waislam wa Ujerumani wengi ni Waturuki, Wakurd, Waafghan kwa asilimia zaidi ya 99.99. Wajeruman Waislam ni kati 20,000 -100,000 sawa na takwimu za UK na France. Huo msikiti umeweka hapo ulijengwa na Edorgan na unafadhiliwa na Serikali yake hata imam wake analipwa na Diyanet.

Ingekuwa wajeruman 4mil ni Waislam wangeufadhili wenyewe.
 
Nilipobalehe tu.

Muulize mamako swali hilo, kama aliwahi kuolewa.
Kumbe ndio maana hukupata elimu dunia ukaishia madrassa tu matokeo yake ndio maana wewe unajadili mada za kidini tu humu miaka yote.😲😲😲😲
 
Hii mada haijakaa sawa kwa kudhani kuwa kuna "Wauslamu a siasa kali". Kama wapo hao, hao wengine waliobaki wanakuwa wa "siasa baridi"?

Uislam ni mmoja tu, mafundisho yake ni aina moja tu. Au uwe Muislam au usiwe Muislam.

Hakuna siasa kali wala baridi kwenye Uislam. Hizo ni mbinu za kijinga za kuwatenganisha na kuwafarakanisha Waislam (Divide and rule).
 
These religions are people's cultures and no white person can abandon his culture to follow the Arab culture, this is out of question.

The only community that can do this is Africans because they've been deeply affected by the slevery mentality.
 
The Quran is not preserved and is corrupted
The famous statement and belief is that “Allah” wrote the Quran. But did Allah truly write the Quran or was it revealed to Muhammad who was incapable of writing the Quran. It was actually revealed in 7 dialects from Allah because certain tribes or groups didn’t know how to speak the other dialects. Therefore, the different lands had different preservations and memorizations of the Quran which is why after Muhammad died (which is when Qurans started being written), muslims were at disagreement and war with each other. Muslims we’re calling other muslims disbelievers because they believed in a different Quran.

If the different Qurans say the same, why would they feel the need to call other ones disbelievers.. the differences had to be great, which I have examples. But back to the history, Caliph Uthman decided out of his own will (not Allah’s or Muhammad’s order) to destroy the other Allah Given Qurans by burning them (sin) and he chose a council of muslims (some were companions of Muhammad) and re created a standardized Quran. Not the original, but his version. Remember, Muhammad told these companions different versions of the Quran so many did disagree yet we are still here to believe that there is only one Quran, when actuality, there is more than 26 Qurans in Arabic where the words are changed, which changes the meaning.

So I ask again, is the Quran today actually Allah’s word, or is it corrupted like every religion is supposedly. Let’s not forget sheep ate pages. Others were lost.

And to debunk this theory, if they memorized it perfectly, which lets say they did.. Allah sent 7 dialects. Muhammad taught different versions. If they were the same, why would one muslim feel to call others disbelievers ? Why would Uthman feel the need to make HIS OWN PERSONAL QURAN WITHOUT DIVINE REVELATION or COMMAND ?
 
Andika Kiswahili wachana na kopi na pesti hizo za wajinga wajinga.

Usiwe kondoo.
 
Uislam sahihi ni ule uliokuwa ukitekelezwa na ISIL chini ya Khalifa Al Baghdad. Yule alikipractice pure Islam kama ulivyokuwa ukihubiriwa na kutekelezwa na Mtume Muhamad 632-622AD
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…