Maelfu ya Waislamu wenye msimamo mkali waandamana Ujerumani wakitaka uwepo wa Sheria za Kiislamu (Sharia Laws)

Kipimo cha mavazi kimekua farasi ,
Mara ya mwisho kula mkate wa bwana uliochanganywa na damu ya yethu lini?
 
Kipimo cha mavazi kimekua farasi ,
Mara ya mwisho kula mkate wa bwana uliochanganywa na damu ya yethu lini?
Kama haujui ngoja nikwambie kipimo cha mtu au kitu chenye moyo mwema na upendo wa Kimungu ni Domestic animal au mtoto mdogo. Shetani wenu anatisha hao wote na wanamuogopa
 
Heri tunaokariri maneno Yale Yale bila kuongeza kitu maana kitabu chetu kimekamilika
Hio biblia yenu mnayoiboresha kila siku utazani mtunzi ni Erick shigongo kuna kipindi mtaja weka mistari ya kuruhusu ushoga ndan yake maana ndio mnapoelekea

Nani aliyesema au chombo gani kilicho endorse kwamba kuruwan iko kamili. Hayo kadanganyaneni huo utopolo huko misikitini kwenu, eti kuruwan imekamilika.
😛
 
Uislam popote.
Ndo maana mnauawa bila mtetezi!!

Ukimbie njaa ya Waislam wenzako, upate hifadhi halafu ukishiba unaanza kuzitaka Sheria mbaya za Kiislam. Aliyewaroga naye alirogwa. Nendeni Afghanistan Kuna Sheria nzuri za Kiislam zinawafaa
 
Uislam hauhitaji mtetezi.

Uislam ndiyi nfumo wa maisha systsksyo Mwenyezi Mungu.

Kazi kwako uufate au usiufate.

Hakuna kulazimishana kwenye dini.
 
dini ya mwamedi ni ile iliyoanzishwa kwenye mapango huko arabuni
Hiyo siifahamu.

Ninachojuwa hata Wakristo waliitwa kwanza Wakristo na Waarabu na ukristo ulianzia hapo arabuni.
 
Hiyo siifahamu.

Ninachojuwa hata Wakristo waliitwa kwanza Wakristo na Waarabu na ukristo ulianzia hapo arabuni.
muulize shehe wako anayekuswalisha mbona anaijua sana tu? wewe huwezi kuijua manaa wewe ni mvamizi tuu ndo maana mdudu unapiga kama kawa

Bibi, Mangi anauliza leo akuwekee kilo ngapi?
 
muulize shehe wako anayekuswalisha mbona anaijua sana tu? wewe huwezi kuijua manaa wewe ni mvamizi tuu ndo maana mdudu unapiga kama kawa

Bibi, Mangi anauliza leo akuwekee kilo ngapi?
Uislam siyo kama Ukristo, hatungoji mtu kutusalisha.

Usiutazame Uislam kwa jicho la Kikristo.

"Sheikh" ni lugha tu ya Kiarabu, labda huelewi maana zake.

Uliza tukupe darsa.
 
Uislam siyo kama Ukristo, hatungoji mtu kutusalisha.

Usiutazame Uislam kwa jicho la Kikristo.

"Sheikh" ni lugha tu ya Kiarabu, labda huelewi maana zake.

Uliza tukupe darsa.
hahahaa Bibi..umelewa supu ya mdudu wewe... wewe una vigezo vya kua Imam wa msikiti?
 
Uislam hauhitaji mtetezi.

Uislam ndiyi nfumo wa maisha systsksyo Mwenyezi Mungu.

Kazi kwako uufate au usiufate.

Hakuna kulazimishana kwenye dini.
Kama ni hivyo mnaandamana ili zitumike sharia hili iweje? Mbona unaongea na unajipinga mwenyewe?. Acha Unafiki. Kuandamana maana yake mnalazimisha.
 
Katiba ya Ujeruman inaruhusu sharia ya dini ya kiisilamu?
Huna elimu wewe! Wao wanataka inclusion ya sharia law ndani ya nchi hiyo ndio maana wanaishinikiza serikali kufanya hivyo kwa vile Katiba zao zinaruhusu kufanya hivyo. Na hata ingekua vp! Katiba hubadilika kulingana na mahitaji ya wakati.
 
Wavaa makobazi akili zipo kwenye ugaidi tu
 
Kwani Sharia Law ndio
Uislamu?
Ninavyojua Uislamu imeandikwa kwenye Qurani nje ya hapo ni tamaduni za watu tu.
Ni Sheria za zama za Giza.
Kulazimisha watu waishi kama tamaduni za Waarabu.
 
Yesu Kristo anakaribia kurudi
Kama bado hujamwamini amua Sasa kwa ajili unyakuo wa kanisa lake huku ulimwenguni

Kinachotupeleka mbinguni sio Dini ya kikirsto wa kiislamu Bali Kumwamini Yesu Kristo moyoni Mwako binafsi

Hao Kama ni raia halali wa uingereza wa uingireza wanahaki ya kudai haki zao

Na washika Dini ya kikirsto wataitisha nao maandamo ya christian nationalism Kama Usa,
MWISHO ni vurugu hapo katikati

Ukiona nchi ambayo illikuwa ya kidini Tena na chama Cha kikristo ikiangukia kwenye Hali Kama hii ni Dalili

Usiitegemee Dini yako kukupeleka mbinguni Bali Amini njia ya kweli na uzima Yesu Kristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…