Maelfu ya wananchi waandamana Burkina Faso

Maelfu ya wananchi waandamana Burkina Faso

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Maelfu ya watu wameandamana wakitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya matukio ya mashambulizi na mauaji ambayo yameyumbisha Taifa hilo miaka ya hivi karibuni.

Shinikizo limeongezeka kwa Rais Roch Kabore kudhibiti na kumaliza mzozo wa kibinadamu ambao umepelekea zaidi ya watu Milioni moja kuhama kutokana na ghasia.

Licha ya uwepo wa maelfu ya walinda amani wa Umoja wa Mataifa (UN), mashambulizi yameongezeka Magharibi mwa Afrika hususan Burkina Faso, Mali na Niger.
=====

Thousands took to the streets of Burkina Faso's capital on Saturday to call for a tougher government response to a wave of jihadist attacks that has destabilised the West African country in recent years.

Some had travelled hundreds of kilometres to attend the opposition-led demonstration in Ouagadougou, where protesters waved the red and green Burkinabe flag and blew whistles.

"We had to show our dissatisfaction, show the distress of citizens who are crying out for security and peace," said opposition supporter Alpha Yago on the sidelines of the protest.

Groups linked to al Qaeda and Islamic State originally based in neighbouring Mali have embedded themselves across the north and east of the country, launching regular attacks on civilians, including one in June that killed more than 130 people, the worst in years.

One protester held a placard with a photo of flag-draped coffins and the slogan: "Mr President, have the courage to decide. We are fed up!"

Pressure has increased on President Roch Kabore to take control and end a humanitarian crisis in which more than a million people have been displaced by the violence.

Last Wednesday Kabore took the role of defence minister in a cabinet reshuffle aimed at appeasing opposition leaders, who have demanded the resignation of the government.

One group of protesters had travelled nearly 400 kilometres (250 miles) from the eastern town of Madjoari, which has seen thousands of residents flee the jihadist threat.

"We cannot understand how a population suffers day after day and for over a month with no reaction from the government. It is deplorable," said Madjoari's deputy mayor Djergou Kouare, as fellow residents waved cardboard placards saying "SOS Madjoari".

Despite the presence of thousands of U.N. peacekeepers, attacks by jihadists in West Africa's Sahel region have risen sharply since the start of the year, particularly in Burkina Faso, Mali and Niger, with civilians bearing the brunt.

Source: Reuters
 
Wazungu sijui wanatafuta ni africa,
Basi jama tumewachoka tuacheni tujiamulie mambo yetu wenyewe
Musitupangie viongozi wa kutuongoza
 
Wazungu sijui wanatafuta ni africa,
Basi jama tumewachoka tuacheni tujiamulie mambo yetu wenyewe
Musitupangie viongozi wa kutuongoza
silaha zao watawauzia wakina nani?
sisi ndio try yao yan hapo ndugu hawatuachi
basi na sie tuache kuwaomba ela
 
Atleast kumbe Afrika tuna nchi ambazo raia wake wanajielewa. Wanasimama pamoja kupinga mauaji ya kila siku yanayotokea bila kujali tofauti zao.

Huku Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020 chini ya uongozi wa awamu ya tano tulishuhudia mauaji ya raia yaliyotekelezwa na kikundi maarufu cha WASIOJULIKANA. Cha ajabu,raia waliendelea na maisha yao bila kuchukua hatua dhidi ya serikali yenye jukumu la kulinda usalama wa raia na mali zao.

Badala yake,yaliimbwa mapambio ya kuutukuza utawala huo kwa mbwembwe na Mikogo mingi.Mpaka Bungeni sifa na utukufu kwa muuaji ziliendelea kumiminika.

Ndio maana Nyerere aliwahi kuambiwa na Jomo Kenyatta kwamba NYERERE ANAONGOZA MAITI ZINAZOTEMBEA. Ndio maana alikuwa anapambana na kivuli kwenye uchaguzi.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom