Maelfu ya wananchi wafika Julius Nyerere Hydro Power Plant kushuhudia uzinduzi wa kituo hiko

Maelfu ya wananchi wafika Julius Nyerere Hydro Power Plant kushuhudia uzinduzi wa kituo hiko

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Hapa ni Julius Nyerere Hydro Power Plant, yaani Kilipo Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere MW 2,115 ambapo uzinduzi wa kituo hiki utafanywa rasmi leo Agosti 22, 2026 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Maelfu ya Wananchi wameshafika tayari kuwa sehemu ya kihistoria ya watakaoshuhudia uzinduzi wa mradi huu mkubwa kimkakati ambao umekuja kumaliza changamoto ya umeme nchini.

Sh Trilioni 7.452 zimetumika hapa kuhakikisha upatikanaji wa nishati ya umeme ya uhakika itakayochochea maendeleo katika nyanja mbalimbali

IMG-20260822-WA0032.jpg
IMG-20260822-WA0036.jpg
IMG-20260822-WA0034.jpg
IMG-20260822-WA0027.jpg
 

Attachments

  • IMG-20260822-WA0032.jpg
    IMG-20260822-WA0032.jpg
    450.5 KB · Views: 10
Sawa.

Lakini itakuwa vyema sana umeme ukawa haukatiki mara Kwa mara.

Lakini pia units tununue Kwa bei ya chini.
 
Back
Top Bottom