Maelfu ya Wananchi Wamiminika Katika Mapokezi Mazito ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi na CPA Amos Makala Mkoani Simiyu

Shahawa zilizokuzaa heri zingemwagwa chooni tu
 
Wamesombwa na malori ya kutosha, Bashe aliwadanganya kila mmoja atapata laki 1 matokeo ake akaingia mitini
 
Mm naona yebo yebo za kutosha ila yeye anasema wananchi!?? Wapi na wapi!?? Kama wananchi wanaipenda CCM ni sawa ila mbona wanatumia nguvu sana!?
Naona unaumia sana na kuteseka sana moyoni mwako unapoona mafuriko ya watu wakiminika katika mikutano ya CCM
 
Mm naona yebo yebo za kutosha ila yeye anasema wananchi!?? Wapi na wapi!?? Kama wananchi wanaipenda CCM ni sawa ila mbona wanatumia nguvu sana!?
CCM inapendwa na wezi wa mali za umma pekee, hakuna mtu mwema na mwenye akili timamu anaweza kupenda CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…