Maelfu ya Wananchi Wamiminika Katika Mapokezi Mazito ya Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi na CPA Amos Makala Mkoani Simiyu

Jamani mpeni ukuu wa wilaya huyu atajiua plz ccm
 
Tunaijua siri yenu juu ya uchaguzi wa Serikali za mitaa, nyie mna mambo ya ajabu sana.
 
Nchimbi baba kanyaga twende tumechelewa Sana. Tunajivunia kuwa na Katibu mkuu mwenye hekima, mtulivu na mwenye maono. Zaidi ya yote ni Mwanadiplomasia mbobevu.
 
Kwa hakika anachapa sana kazi na kwa weledi wa hali ya juu sana.
 
Back
Top Bottom