Maendeleo halisi huletwa na mzizi

Maendeleo halisi huletwa na mzizi

ESMission

New Member
Joined
Jul 13, 2021
Posts
3
Reaction score
0
Kwenye jamii yako Siasa ndiyo ikuongozayo yaani Mwanasiasa(Maneno), Lakini Ukweli ni kwamba "Maneno" kwa kuwa Hubadilika wakati wowote, hayawezi kisahihi kukuongoza ama kukulinda bila ya kuwa na mzizi wake ambao ni neno!

Mtu makini anajua hili; "Nyuma ya Rais [sii wakati wote utamwona] ila ni lazima awepo mtu mwenye kofia yaani Mwanajeshi(Neno/Amri)."

Hivyo kitulindacho siku zote ni mzizi. Nasema hivii iwe unapitia Furaha ama Karaha mzizi wake huwa ni "Raha". Hivyo ukiijua Raha kwanza ndio utajua unachopitia ni Furaha ama Karaha.

Kwa maendeleo yako halisi, Ujue mzizi wako!
 
Mzizi siyo wa miti, yaani ni msimamo, asili, msingi, chanzo. Lakini maisha yanatawaliwa na siasa kila siku ni siasa tu, na siasa huinua na pia huangusha.
 
Mzizi siyo wa miti, yaani ni msimamo, asili, msingi, chanzo. Lakini maisha yanatawaliwa na siasa kila siku ni siasa tu, na siasa huinua na pia huangusha.
Kwa hili Ninathibitisha wewe ni "Mtu makini✓" Hongera sana!
 
Back
Top Bottom