Maendeleo hayawezi kuletwa haraka kwa sababu yanatumika kama mtaji wa kisiasa kwa chama tawala

Maendeleo hayawezi kuletwa haraka kwa sababu yanatumika kama mtaji wa kisiasa kwa chama tawala

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Tuna vitu vingi Tanzania tumebarikiwa ila kutokana na siasa mbovu ndio mtaji unaotumika kuzoretesha au kuchelewesha maendeleo.

Watawala na viongozi utumia mbinu hii kama mtaji wao upate maendeleo.

Na hii kauli hata marehemu Jpm alisema "siwezi kukuletea maendeleo sababu umechagua mpinzani"
 
Kunasiku moja nipo mikumi mjini napata kinywaji eneo ambalo Huwa madereva wa malori Huwa wanapaki na kujiburudisha kidogo. Yalipaki malori matano, moja limebeba makaa ya mawe, lapili limebeba mbao, la tatu limebeba kontena ndani sikujua Kuna nn, la nne limebeba magunia ya vitunguu na latano ng'ombe. Achana na v IT vinavyoenda huko mpakani. Nikajiuliza hivi kwanini Tanzania ni masikini?
 
Back
Top Bottom