Kunasiku moja nipo mikumi mjini napata kinywaji eneo ambalo Huwa madereva wa malori Huwa wanapaki na kujiburudisha kidogo. Yalipaki malori matano, moja limebeba makaa ya mawe, lapili limebeba mbao, la tatu limebeba kontena ndani sikujua Kuna nn, la nne limebeba magunia ya vitunguu na latano ng'ombe. Achana na v IT vinavyoenda huko mpakani. Nikajiuliza hivi kwanini Tanzania ni masikini?