sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi.
Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao.
Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni ya biashara, kodi ya tra kila baada ya miezi mitatu, ada ya taka, n.k
Vivyo hivyo na mfanyakazi atalipia kodi.
Na hata deni tunapopewa basi anaelipa ni mtanzania.
Sasa haya mambo ya kujitapa tapa kwamba chama fulani kimejenga barabara, airport, n.k yanatoka wapi.
Hata Hashim Rungwe akipewa pesa za wananchi anaweza kuijenga nchi bila tatizo