sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Isifie wananchi kuwa kazi zao zinafanikisha tz kuendelea zaidiunataka ijinadi kwa nini mkuu
hiyo kazi aiwezi kufanya maana wananchi ndio waliwapa hiyo kazi ya kutumia pesa zao kuleta hayo unayotaka wao wasifiwe.Isifie wananchi kuwa kazi zao zinafanikisha tz kuendelea zaidi
ππ Mbona umeshajijibu wamepewa pesa, Sasa mtu gani anaepewaga anajinadi kama vile katoa pesa mfukoni ππππ€π€π€ Mbaya zaidi hata CAG alietusaidia wananchi kujua fedha zinatumikaje akafukuzwahiyo kazi aiwezi kufanya maana wananchi ndio waliwapa hiyo kazi ya kutumia pesa zao kuleta hayo unayotaka wao wasifiwe.
Sasa ni halali wananchi kuwasifia kwa kutekeleza kile walichoingia nao mkataba wa miaka mitano kuwa kimefanya na zaidi
Kuteka na kuua wapinzaniunataka ijinadi kwa nini mkuu
za kupewa ni kama asilimia chache tu mkuu hahahaππ Mbona umeshajijibu wamepewa pesa, Sasa mtu gani anaepewaga anajinadi kama vile katoa pesa mfukoni ππππ€π€π€ Mbaya zaidi hata CAG alietusaidia wananchi kujua fedha zinatumikaje akafukuzwa
mpinzani gani kauwawa mkuu.Kuteka na kuua wapinzani
CCM wako juu ya sheriampinzani gani kauwawa mkuu.
Hakuna hata kesi moja mahakamani kuwa kuna CCM au mtawala kamuua mpinzani wake.
acha longolongo bro
kuna file lolote lilifunguliwa au waliacha tuCCM wako juu ya sheria
Jana diwani wa dodoma kalithibitisha hili kwa kuwaambia polisi wasimnyanyase yeye siyo mpinzani
Wewe unaweza kuwafungulia mashtaka "malaika" ???kuna file lolote lilifunguliwa au waliacha tu