subli wanasiasa waje hapa kutetea upuuzi wao kwa maneno mepesi,, hata huyo mama yenu anasema kuwa kuna kijihela kapata sehem, na kitajenga madarasa zaid ya maelfu , sasa jiulize na zile tozo je zmekwenda fanya nini? ok achana na hilo, serkali kuwa na majiji zaid ya6 ambayo ni kama makao makuu ya kila kanda, chaajabu majiji yenyew yana hadhi chafu, yaan miundombinu mibovu, huduma za kijamii za hovyo.
kinachoiefelisha hii nchi, ni sera ya maendeleo ya muda mrefu, yaan sera ambazoo haziathiliwi na siasa wala kiongoz yeyote pale apatapo uongozi, utashangaa yaan kila rais ajae anakuja na maajabu yake, kama si kuvuruga alichofanya mtanguliz wake basi atakipotezea kabisa, na mipango ama lile lililokuwa lnafanywa na mtanguliz wake kuzikwa.
hii nchi ilitakiwa kuwa na katiba stable isiyo athiliwa na wanasiasa, pia sera endelevu za maendeleo ambazo znakuwa updating kila baada ya muda fulan kulingana na kasi ya maendeleo ya dunia, pia iwe inafanyiwa maboresho na watahalamu na sio wanasiasa ama watu wanaoegemea upande fulan wa chama cha siasa ama ushabiki wa siasa, hawa watu wangekuwa wakifanya maboresho haya ya sera za taifa ambayo kila kiongoz lazma ayafanyie kazi bila kwenda njee ya izo sera uku akifanya yale ya ilani ya chama chake
na izi ndizo mbinu znazowafanya nchi za ubeberuni kuwa strong na endelevu kulko sis ambao kila siku tunapambana na wanasiasa wanavyofanya siasa za ubaguzi, maendeleo ya upendeleo, utashangaa sana jiji kama mbeya liliongoza kimapato nchi nzima, lkn ukilitizama ni jiji la hovyo kimiundombinu na huduma za kijamii.
hii nchi ina safar ndefu sana