Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

Maendeleo makubwa baada ya miaka 61 ya Uhuru

Nyabukika

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2022
Posts
1,440
Reaction score
1,046
Leo ikiwa tunasherekea miaka 61 ya uhuru tunajivuni uhuru uliodumu kwa miaka 61 bila kuupoteza Tanzania ni nchi inayoongoza kwa kuwa na amani upendo na ushilikiano ukilinganisha na nchi zingine lakini pia hapo miaka ya nyuma kidogo kuna uhuru tuliupoteza uhuru wa vyombo vya habari na uhuru wa kutoa maoni lakini Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani ameturejeshea uhuru wa vyombo vya habarai na uhuru wa kutoa maoni sasa watanzania wanaweza kutoa maoni yao bila kuhofia maisha yao.

lakini pia Rais Samia Suluhu amefanikiwa kuweka usawa wa kijinsia najua hii ilikua ndoto kubwa ya Mwal Nyerere na Rais Samia Suluhu ameitimiza sasa nchi inaongozwa na mwanamke na asilimia kubwa ya viongozi wa juu ni wanawake.

Toka Tanzania ipate uhuru tumeimarika katika sekta zote muhimu maji yanapatikana kwa asilimia mia umeme mpaka vijijini, miundombinu imeboreshwa, Huduma za afya zimeimarika, lakini pia sekta ya elimu imeboreshwa

Leo watanzania wengi tunafuraha kusherekea siku ya uhuru pamoja na wanafunzi wenye mahitaji maalumu ni baada ya Rais Samia Suluhu kuleta usawa kwenye elimu na kuamuru fedha za sherehe za uhuru zifanye ujenzi wa Mabweni 8 kwenye shule ya msingi

Mungu ibariki Tanzania tuendelee kuishi kwa amani, umoja, upendo na mshikamano.
 
Umoja upi wakati kila dakika kuna mijitu mishamba inajivunia ukabila bila aibu.. Mara oh sisi ndio wengi.. Wanajiona ndio wenye haki kuliko makabila mingine. Kila dakika yanaanzisha mada humu ndani za kujifariji, wanaona watanzania wengine ni mafala tu na hawajui yanayoendelea. Hii mijitu kwanini isijitenge tu ikaue vizuri albino kwenye jamhuri yaoe
 
IMG_3140.jpg
 
Back
Top Bottom