Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maendeleo hayana ChamaCcm Mungu anawaona aisee sio kwa tozo hizi
Kwani nyie hamlipi hiyo tozo? Kwanini unasema tozo yenu? Akina Nani?tozo yenu ishaanza kugawanywa
nyieKwani nyie hamlipi hiyo tozo? Kwanini unasema tozo yenu? Akina Nani?
Hamza jamani angekimbia tu ili na siku nyingine......Sisi tukifanya kikao chetu cha ndani tunakamatwa na kufunguliwa mashtaka ya ugaidi.Wao wakifanya kikao wanalindwa kwa walinzi wa miguu wenye silaha na wa angani wenye miavuli. pia.Tozo tukatwe wote tena kwa nguvu,kisha wagawane.Nshajichokea mimi.
Tunatozwa tozo wapate posho za kugawana kwenye vikao. Nchi imelaaniwa.tozo yenu ishaanza kugawanywa
Ataje n vituo vyenyeweHii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
View attachment 1908526
ngoja tumuambieAtaje n vituo vyenyewe
Jamani, mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Hapa Kata 2 zinapata vituo vya afya, wewe bado unachelewa kuleta propaganda.Tunatozwa tozo wapate posho za kugawana kwenye vikao. Nchi imelaaniwa.