JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Kupitia somo la Stadi za Kazi Wanafunzi hujifunza sanaa na shughuli mbalimbali za uzalishaji kama, uchoraji, ushonaji, mapishi, kilimo, ufugaji
Ni sanaa gani au ujuzi ulijifunza kutokana na somo la Stadi za Kazi Shuleni?
Upvote
1