Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

Mark S

Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
74
Reaction score
90
Habari ba ndugu,naomba kujuzwa barabara za juu za ubungo ,maendeleo yake katika ujenzi wapo hatua zipi?
 
Wameshajenga njia za chini from tazara to ubungo mataa na ubungo mataa to mwenge na kwingineko
 
Mwanzo walivyoweka lile bango la ramani walikuwa wamekosea, waliligeuza kichwa chini miguu juu sasa nadhani bado wapo kwenye mipango ya kupeleka wale mafundi walioliweka bango ili waligeuze likae sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kumbe..ila ujenzi wanaanza lini mwaka huu au ujao?

Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
 
wapo hatua nzuri wamemaliza mobilization walkuwa wanapma maji udongo na kujenga nyumba za wafanyakazi ndo maana pale kunafumuka maji maana wamebomoa muamba ili eneo liwe dry zaidi ingia YouTube Millard ayo karusha maendeleo yake
Aisee,taarifa njema,jengo la Tanesco linapona kweli?
 
04fa5faab591795733fdc5b29e273737.jpg
 
Back
Top Bottom