Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

Maendeleo ya ujenzi wa fly over ya Ubungo

Maana yake,watu wafikirie alternative routes,kama unaenda mbezi,unatoka posta au kariakoo,unaweza ingilia shekilango utokee mawasiliano upite nyuma ya udsm..kukwepa ile jam ya mataa ubungo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pia kuna njia ambazo zingetengenezwa vzr zingesaidia sana kuondosha foleni ya ubungo hasa kwa magari madogo...mfano ile barabara inayopitia kanisa la Lusekelo ingetengenezwa mpk kufikia Mbezi/Kimara kwakua ipo njia ambayo inaenda tokea kimara Korogwe kwa kupitia njia ya kwa Lusekelo lkn ina mashimo makubwa sn na hasa kipindi cha mvua kubwa.
 
tulia mtateseka kwa muda mfupi ila mtaejoy life miaka200
 
bbb3277c2fd3cdd341ea6485988e424f.jpg

Up close and clear.
A few minor changes might still occur to the design though.
According to the The Korean Consultants of this project.
 
Mwanzo walivyoweka lile bango la ramani walikuwa wamekosea, waliligeuza kichwa chini miguu juu sasa nadhani bado wapo kwenye mipango ya kupeleka wale mafundi walioliweka bango ili waligeuze likae sawa!

Sent using Jamii Forums mobile app
Likikaa sawa Mara paaaaa 2020 hiyoooo...[emoji2] [emoji2] unasimama kwanza pesa zinapelekwa kwenye ngonjera....
 
Hawa wachina hawajabadili design? Wameruhusiwa.

Tuache kuangali na kuwapa tender wachina, sababu ya price tu
 
Je ukiangalia hapa mwendokasi imefumuliwa? labda kuna marekebisho kidogo lakini kituo cha ubungo, na maji vyote vinaonekana hapo

bbb3277c2fd3cdd341ea6485988e424f.jpg

We nae muongo mbona sioni barabara za kukunja kushoto ?

Hichi kiramani simple kama daraja la treni na magari
 
Hivi hawa jamaa wanaojenga hizi projects ofisi zao zipo wapi hasa? Ninashida nao aisee
 
Back
Top Bottom