Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Wakati wa Magufuli alishutumiwa na Upinzani hasa CHADEMA kwamba ni maendeleo ya vitu yaani SGR, Ndege, Bwawa la kuzalisha umeme> 2000 MW, Flyovers vyote hivi walikejeli ni maendeleo ya vitu.
Sasa leo hii wako Madarakani kuna maendeleo ya nini? Maji hakuna, Umeme hakuna, Usalama wa raia na mali zake hakuna, Mikopo kwa Wanafunzi hakuna, wizi umetamalaki etc.
Kipi bora?
Sasa leo hii wako Madarakani kuna maendeleo ya nini? Maji hakuna, Umeme hakuna, Usalama wa raia na mali zake hakuna, Mikopo kwa Wanafunzi hakuna, wizi umetamalaki etc.
Kipi bora?