Mkuu natumia simu kuandika Sasa umejuaje sijui? Nimekosea spellings? Magu ameshakopa 40 T ambayo ni sawa na pesa yote ya makusanyo ya nchi kwa miaka karibia 3,Hilo tu halitoshi kukuonesha kuwa hakuna chochote tunachofanya kwa pesa yetu? Hayo ya barabara zilizojengwa kwa mikopo hufungua uchumi ni theories tu zisizo na maana.The main drive ya uchumi ni productivity ambayo huongezwa na elimu kwa maana ya ujuzi na maarifaHujui hata kuandika ungesema baadhi vimejengwa kwa mikopo
Pili mikopo sio shida uwezo wa kulipa upo na return ya faida Ni kubwa
Barabara nyingi nzuri hufungua uchumi hivyo mapato ya Kodi kupngezeka hujui hilo?
Mfano enei lilikuwa halina barabara ukijenga magari yataanza kuitumia na yanatumia mafuta yanayolipiwa Kodi,gari za abiria zitaanza eneo Hilo biashara ya abiria inalipiwa Kodi . biashara nyingi zitafunguliwa zinazolipa Kodi
Kujua faida chukua mkopo uliokopa toa Kodi ulizokusanya kupitia hup mradi wa barabara kupitia components zote zilizopo hiyo barabara ndio utajua faida yake
Chadema uchumi mko zero ndio maana mnaandika ujinga . Chadema mna professor mmoja tu profesa Baregu Tena naye wa siasa
CCM tunao kibao wa kutushauri
Hakuna familia Wala nchi iliyojenga sustainable development kwa mikopo tena mikopo ya riba kubwaHakuna nchi hata moja inayojenga uchumi wake bila kukopa ndio maana hata matajiri wote duniani wanakopa katika hilo mnajigeuza uchizi kipindi ambapo ndege zimenunuliwa kwa cash mlioji kwanini zinunuliwe kwa cash wakati biashara ya ndege duniani kote ukopwa,hivyo hoja ni ya kijinga.
Amekopa T 40 kwa takwimu zipi?Mkuu natumia simu kuandika Sasa umejuaje sijui? Nimekosea spellings? Magu ameshakopa 40 T ambayo ni sawa na pesa yote ya makusanyo ya nchi kwa miaka karibia 3,Hilo tu halitoshi kukuonesha kuwa hakuna chochote tunachofanya kwa pesa yetu? Hayo ya barabara zilizojengwa kwa mikopo hufungua uchumi ni theories tu zisizo na maana.The main drive ya uchumi ni productivity ambayo huongezwa na elimu kwa maana ya ujuzi na maarifa
Wewe ulikopa na ukanunua tv inch 40 kwahiyo wewe ni mweu.Hakuna familia Wala nchi iliyojenga sustainable development kwa mikopo tena mikopo ya riba kubwa
Mkuu nakuelewa sana na hii ndo akili ya magu.ila kwa mfano huo ulioutoa ,watu wenye akili wangekopa ili kuwekeza kwenye production inayoongeza hicho kipato chako Cha 1m badala ya kukopa kuwekeza kwenye dead investmentHivi ujinga utawatoka lini ,??
Unajua long term items zinajengwa kwa mikopo ndio maana unasikia kuna mikopo ya nyumba, kuna hire purchase nk n.
Wewe mfano rent yako ni tshs 1m kwa mwezi , ukitaka kujenga si unaweza kuchukua mkopo na badala ya kulipa kodi ya panga ukawa unalipa deni la nyumba, hivyo ktk miaka 2 ukawa na nyumba lakini unalipa deni.
Sasa wewe hutaki hilo basi endelea kupanga nyumba
Wewe inaonekana ni mgeni ktk dunia hii hujui source ya utajiri wa hao wachumba zako ndio maana una idea kama hizoHakuna familia Wala nchi iliyojenga sustainable development kwa mikopo tena mikopo ya riba kubwa
Mkuu nakuelewa sana na hii ndo akili ya magu.ila kwa mfano huo ulioutoa ,watu wenye akili wangekopa ili kuwekeza kwenye production inayoongeza hicho kipato chako Cha 1m badala ya kukopa kuwekeza kwenye dead investment
Mkuu nchi inajengwa kwa Kodi za watu wake na si mikopo.kodi inatoka kwa individuals na siyo kwenye mikopo.Hivyo nchi kujenga uwezo wa watu wake kuzalisha zaidi ndo maendeleo zaidi.kuinvest trions of money kwenye reli huku walimu hujawalipa,huku watoto wetu wakipata elimu mbovu haina tofauti na kukopa ukajenge nyumbaNaona unarudi kule kule, kwa individual unachosema kinge kuwa kweli lakini kwa nchi yenyewe itafanya kile Mimi na wewe hatuwezi kufanya e.g kujenga barabara, hydro electric dams etc, sasa kwenye hiyo investment ya production ya ni mimi na wewe twende tib etc , una jua economic pressure ndio inatufungua mimi na wewe akili zetu zifikirie nje ya box na Mambo mengine iwe kufungua sole trader au kuwa in partnership, joint venture, public or private company etc.
Hata huko nchi zilizoendelea nidhamu na ugunduzi zinakuja ktk kujitafutia, Lakini angalia Tz vs Kenya etc nidhamu ili haribika kwa kuwa tulikuwa tunatarajia serikali itupatie , ajirsa,matibabu , elimu etc
Na mind u huo umeme ma barabara tunazi hitaji ili kutusaidia katika uzalishaji na usambazaji