winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 379
- 603
Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo.
Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi chini.
Fikra chanya na huru ndio maendeleo yenyewe au la tuamue kutumia mfupi wa kijima kama China lakini uwajibishwaji uwe kwa asilimia 100.