Maendeleo yashirikishe watu

Maendeleo yashirikishe watu

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Wananchi hawakuwa na uelewa mpana kuhusu Ujamaa na kujitegemea, wala Azimio la Arusha. Walidhani mali ya umma ni mali isiyokuwa na mwenyewe, hivyo hakuna aliyekuwa tayari kuilinda, walidhani kuwa mali ya umma ni mali ya serikali na mlinzi ni serikali tu.

Je, miradi yetu ya sasa ina baraka za wananchi?, inahusisha wananchi? Maana wao ndio wanaotarajiwa waje kuwa walinzi wa miradi hiyo.

Wakati ule wa ujamaa wananchi walikuwa wakimuangalia na kumsifu mtu aliyekuwa anaiba mali ya umma maana kwaakilizao ilikuwa sio yao.

Je, ni nani aliyewahi kumpiga na kumuumiza vibaya mwizi wa alama za barabarani, vyuma vya madaraja, nyaya za umeme na mafisadi? Jibu ni hakuna. je hii inamaanisha nini kwao? hawaoni kosa?, hawakumuona mharifu?, sababu ya uharifu wanaifahamu? au au au?
 
mkuu nionenye mzalendo wa nchi hii kindakindaki asiye na makandokando
 
Back
Top Bottom