Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

Maeneo gani mazuri kumtembeza mgeni jijini Dar?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ni kabinamu changu ila undugu wa mbali kidogo wa ma bibi na mabibi huko alafu ni kapeace kishenzi kametoka Katavi huko hakajawahi kufika Dar hata siku moja ila kamewahi kwenda Arusha sasa juzi tumekutanishwa home na kwa hizi siku tatu kangependa kakate kiu ya kulifurahia jiji hili la raha na karaha, tour ikienda vizuri huenda nikatunukiwa kaposho cha bia nitapata.

Nimeandaa Mliman City, Kariakoo, Posta, Masaki, Coco, kwenye panton na mwendo kasi.

Kama kuna mwongozo mwingine niongezeeni sehemu gani hupaswi kuacha kumpeleka mgeni wako mpendwa Dar es Salaam ili ajionee magari na majengo yasiyopatikana mkoa. Je, ni Mbezi au Sinza au kawe au morocco au mikocheni au changombe au kurasini wapi nijichukulie ujiko.

NB: Sina motokaa tunatumia usafiri wa umma.
 
Ni kapeace kenye amani? Au kapeace kenye upisi? Hapo sijakupata fresh hiyo kutunukiwa bia ni kenyewe ndo katakutunuku au? Utalii mwema wa jiji
 
kuna watu wakipata hela wanafikiria kuzitumia tu
 
Back
Top Bottom