Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

real hustler

Senior Member
Joined
Mar 12, 2021
Posts
143
Reaction score
204
Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu.

Wapi kwenye unafuu?

#Morogoro manicipal
 
Lukobe, kasanga, kiegea huko kuna asili ya mchanga mweupe. Forest pia kuna afadhari
 
Back
Top Bottom