Maeneo gani ya Kujirusha Week end Kutuliza stress za Week!!

Hell2Heaven

Senior Member
Joined
Mar 3, 2021
Posts
173
Reaction score
465
Hello Guys.. wa Dar es salaam!

Hivi kwa ambao siyo wapenzi wa pombe wala Wanawake yaan siyo wapenda ngono, Na hatuna marafiki tuko na Introvet character tunaenda wapi kuburudika kipoteza muda kisha tuje kulala saa 5 majumbani hasa ukizingatia ni bachelor.

Msaada wa maeneo ya kum accompany mtu kam huyu ni yapi

NB:. Jamaa antaka eneo la kwenda siyo kwenda kuspend bali kuburudika kwa kutumia nauli yake tu nasio viingilio.

Mtajie kama una yajua ya hapa Dar es salaam.

Asanteni.
 
Yani unataka kuburudika bila gharama kabisa? Labda uende hapo beach mavi
 
mwambie anaribu kuepusha shari tu, kifupi atulie tu hotel jiji la dar lina mengi... achukue tu simu awasiliane na ndugu zake, ashinde JF humu, aingie you tube asikilize mawaiza..
 
Yani unataka kuburudika bila gharama kabisa? Labda uende hapo beach mavi
Gharama ni kinywaji chake na nauli yake.. siyo kiingilio . anataka tu kujua maeneo yenye amsha amsha nzuri ajifunze uchangamfu wa jiji.
 
Aende miskitini.
Hata sadaka hataombwa.
Nauli yake tu
 
Kwa wahaya ,sokota ,zambezi
Jamani wahaya bado wapo?
Enzi hizo walikua Livingstone, Kisutu ilipo red Cross na Ubungo ilipo TBS. enzi hizo condom zinaitwa Durex lkn watu walikua hawazitumii. Hakuna ukimwi Wala Corona. Shilingi tano unapona. Hakuna nitumie nauli, Wala vocha, Wala kuku. Ni shilingi tano tu. Unakuta mtuakishatoka kupona ametia mkono mmoja mfukoni huku ameangalia chini. Aibu nyingii
 
Eapoti, hapo pazuri na panafurahisha kwani kuna ndege wengi wanalalia.
 
Wapo mpk kesho!
 
Ni kwamba hana hela au ?

Anyway , Aende weekend Coco Beach kama ni mpenzi wa beach akashangae shangae mara kaona kile mara kaona hiki ...siku inaisha.
Ningempa company sema introverts Wana enjoy kampani yao wenyewe.
 
Labda uende ukapige chabo labour mwananyamala kwa wamama wanaojifungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…