Maeneo hatarishi zaidi kuweka makazi ya kuishi. Kuwa makini unapochagua kiwanja

ila tsunami ya mwaka 2006 iliyotokea Indonesia, athari yake ilifika mpaka Afrika ya Mashariki ikiwemo Tanzania.
Siku ya Tsunami,tarehe 26 Dec ,mi Binafsi nilikuwa Ufukwe wa Msasani,,,,
Yale ni mawimbi yaliyosafiri thousands of Km...
Mashariki ya kati,Mashariki ya Mbali na Asia pasifiki huko kote kuna faultlines za Matetemuko,na ndipo ambapo panaweza dhuliwa na Tsunami....

Yani,ukija ona maeneo ya Afrika Mashariki yamefunikwa na Tsunami,basi jua Indonesia,SriLanka,India na Malaysia zimeshafunikwa zotee....na hilo tetemeko litakuwa kubwa kuwahi kutokea.
 
🤔🤔🤔🤔.
 
cheki yanayotokea Lamu hivi sasa, maji ya bahari yamejaa kwenye makazi yaliyo karibu na pwani mpaka wenyewe wameshangaa wanasema hawajawahi kuona tukio kama hilo.

Kwa hivyo na wewe usijiaminishe kuwa huko Mbezi beach kila siku kutakuwa shwari kwani bahari haitabiriki.
Kinachotokea Lamu ,ni sawa na Cape Town pamoja na Java huko Indonesia,,,
Hayo maeneo yanatitia....
Indonesia mpaka nchi inataka kuhamisha makao makuu ya nchi Kisa kutitia/Kuzama kwa mji.
 
🤔🤔🤔🤔.
1.Japan 2.Indonesia 3.China 4.Ufilipino
5.Iran 6.Uturuki 7.Peru 8.Mexico 9.Italy 10.New Zealand

Hizo nchi nilizoorodhesha hapo juu,ndiyo unaongoza kwa Matetemeko duniani.
Na matetemeko take huwa ya kibabe....

Na matetemeko huwa yanajirudia nchi hizo hizo,hata Tsunami huwa ni nchi hizo hizo...ushawahi kujiuliza kwanini?

Zipo kwenye ukanda wa matetemeko,hata ujenzi wao una sheria kali sana.
 
Maeneo hatarishi ya kuepuka kwenye Ujenzi...
1.Hifadhi za Barabara
2.Hifadhi aa Misitu
3.Mbuga/Hifadhi za Wanyama
4.Fukwe za Bahari/Maziwa/Mito
5.Hifadhi ya Viwanja za Ndege
6.Hifadhi ya Umeme mkubwa
7.Hifadhi ya njia za Reli
8.Hifadhi ya Kambi za Jeshi
9.Maeneo ya wazi
10.Maeneo ya Viwanda vikubwa
11.Pemebeni ya Vituo vya mafuta
12.Hifadhi ya njia za Mabomba ya gesi/Mafuta

Ukitaka nunua kiwanja hakikisha hivyo hapo juu havipo karibu nawe.
 
1.Japan 2.Indonesia 3.China 4.Ufilipino
5.Iran 6.Uturuki 7.Peru 8.Mexico 9.Italy 10.New Zealand

Hizo nchi nilizoorodhesha hapo juu,ndiyo unaongoza kwa Matetemeko duniani.
Na matetemeko take huwa ya kibabe....

Na matetemeko huwa yanajirudia nchi hizo hizo,hata Tsunami huwa ni nchi hizo hizo...ushawahi kujiuliza kwanini?

Zipo kwenye ukanda wa matetemeko,hata ujenzi wao una sheria kali sana.
images (23).jpeg
images (22).jpeg
images (24).jpeg

Tukiachana na tetetemeko pamoja na masunami, vipi hilisio janga kwa wakazi wa Dsm?.
 
Wote tumeona na kusikia Kikichotokea Hanang na maeneo mengine kama Arusha, Geita na Baadhi ya Nchi jirani Kwa kukumbwa na Mafuriko na maporimoko ya Mawe na uongo.

Kwa tahadhari tu, unapochagua kiwanja cha kujenga na kuweka makazi ya kudumu au taasisi ni vyema maeneo yenye sifa zifuatazo yaepukwe Kwa usalama zaidi.

1. Maeneo ya Kando Kando ya Bahari/Maziwa na Mito Mikubwa
Watu wengi wanapenda kuishi kando ya maeneo hayo ila Kwa taarifa Yako tuu hayo ni maeneo hatari zaidi Kuweka Makazi kwa sababu hukumbwa na Mafuriko(kuongezeka kwa ukubwa wa Maji na kuzamisha maeneo ya mwambao au jirani), Mafuriko yanayoletwa na vimbunga (Libya) au matetemeko ya Ardhi(Indonesia)

2. Mabondeni na maeneo Chepechepe (Mikondo ya Kupitisha na Kutunza Maji)
Watu wamekuwa wakijenga Mabondeni na maeneo yenye Asili ya maji Kwa kujifariji kwamba mkiwa wengi maji yatakimbia. Kwa taarifa yenu tuu ni kwamba Kuna siku maji yatarudi kama ilivyo hapo Jangwani na pia chemchem za kutosha zitatokea na kusababisha majumba kuporomoka.

3. Maeneo Jirani au Kando ya Milima Mikubwa
Maeneo kama haya hata yawe na Misitu ikiyopamba ila ni hayafai Kwa sababu Kuna siku Ardhi itazidiwa na maji(Saturated) na hivyo kusababisha maporimoko ya udongo na mawe. Katesh,Cameroon ,DRC nk.

4. Maeneo ambayo ni prone na Matetemeko na Active Volcano.

Mwisho Majanga ya Asili hayaepukiki (nature balancing) ila tunaweza punguza athari Kwa kuchukua hadhari.
Maeneo ya Kando na Bahari,,,
Hii ni kwa nchi za Asia Pasiki na Pwani ya Amerika....
Ipo probe na Vimbunga vya Bara zaidi kuliko vya Pwani....

Kuna ambao huwa na vimbuga zaidi kuliko Afrika haswa Afrika Mashariki.

Wajerumani hawakuwa wajinga kujenga Ikulu Karibu na Bahari.
 
View attachment 2968017View attachment 2968018View attachment 2968019
Tukiachana na tetetemeko pamoja na masunami, vipi hilisio janga kwa wakazi wa Dsm?.
Mkuu,Mafuriko kwa Dar ni suala la mipango miji mibovu na kutoweka Miundombinu.
Watu wanajenga hovyo,hakuna njia za maji ya mvua kupita au mitaro ipo ya miaka 20 nyuma.

Nakupa mfano.
1.Tandale na Mwanyamala Bwawani, katika miaka ya 2000s palikuwa kutwa mafuriko,mpaka watu kuita Bwawani.
Magufuli akatandaza mitalo kila Kona, tena mitalo mikubwa na iliyoshiba.
Pita sasa huone,Tandale hakuna mafuriko,Bwawani hakuna Mafuriko na washua wanawavua watu ardhi.

2.Msasani Kisiwa hadi Mayfair,kote kulijaa maji kwenye mafuriko ya 2011.
Kikwete akapitisha mitalo mikubwa haswa...
Kwasasa hakuna Maji kujaa....

3.Kariakoo,Upanga na Kivukoni
Hizi kata zinafurikwa maki,kwasababu mitaro yake ni ya miaka 30 nyuma ,

4.Boko,Madale na Tegeta
Jiulize Kwanini huwa yanakumbwa na mafuriko wakati yale maeneo yapo juu...

Pia kuna Viwege-Majohe,

5.Jangwani na Kigogo
Hapo watu wamejenga mtoni kabisa,,yani siyo kusema wapo karibu hapana, wale wamejenga kwenye mto kabisa,na eneo ambalo ni kimbilio la Maji ya bahari pindi inapojaa...
 
!.
 
Kinachotokea Lamu ,ni sawa na Cape Town pamoja na Java huko Indonesia,,,
Hayo maeneo yanatitia....
Indonesia mpaka nchi inataka kuhamisha makao makuu ya nchi Kisa kutitia/Kuzama kwa mji.
sea level rise inatokea dunia nzima, na sisi hatukuachwa nyuma kwenye hii. Kwa hivyo usijiaminishe sana kuwa uko mbali na fault line na huwezi athiriwa na coastal erosion au maathiriko ya tabianchi.
 
Siku ya Tsunami,tarehe 26 Dec ,mi Binafsi nilikuwa Ufukwe wa Msasani,,,,
Yale ni mawimbi yaliyosafiri thousands of Km...
Mashariki ya kati,Mashariki ya Mbali na Asia pasifiki huko kote kuna faultlines za Matetemuko,na ndipo ambapo panaweza dhuliwa na Tsunami....

Yani,ukija ona maeneo ya Afrika Mashariki yamefunikwa na Tsunami,basi jua Indonesia,SriLanka,India na Malaysia zimeshafunikwa zotee....na hilo tetemeko litakuwa kubwa kuwahi kutokea.
Yes, the 2004 Indian Ocean tsunami, which was triggered by a massive undersea earthquake off the coast of Sumatra, Indonesia, did affect the eastern coast of Africa, although the impact was not as severe as in other regions closer to the earthquake's epicenter.
The tsunami waves radiated across the Indian Ocean, affecting coastal areas in several countries, including Somalia, Kenya, Tanzania, and Mozambique along the eastern coast of Africa. While the impact varied depending on the specific location and topography, some areas experienced inundation, coastal erosion, and damage to infrastructure, boats, and coastal communities.
In Somalia, the tsunami reportedly caused some coastal flooding and damage to infrastructure, particularly in the Puntland region. In Kenya, there were reports of waves hitting the coast, resulting in localized flooding and damage to coastal properties and infrastructure in areas such as Malindi and Lamu.
In Tanzania, particularly in Zanzibar and coastal areas of mainland Tanzania, the tsunami caused some damage to infrastructure and boats, and there were reports of coastal erosion and flooding in low-lying areas. However, the impact was relatively minor compared to other regions closer to the earthquake's epicenter.
Overall, while the eastern coast of Africa did experience some effects from the 2004 Indian Ocean tsunami, the impact was less severe compared to countries closer to the earthquake's origin. Nevertheless, the event highlighted the vulnerability of coastal communities in the region to tsunamis and the importance of disaster preparedness and early warning systems to mitigate future risks.
Source: AI
 
Pale mawasiliano kuna kituo kinachohusika na Tafiti za Tsunami na tahadhari yake....
Ila kwenye ishu ya majanga ya Asili,Afrika mug nakupenda sana.
Mana haina maeneo hatarishi ya hivyo vitu...
Sisi ni wataalam kujitengenezea majanga :Kukata Miriam ovyo,balaa la njaa,vita
 
what are you talking about dear, mbona sikuelewi?

Siku hizi kuna global tsunami or earthquake warning system na inakupatia taarifa ambayo ni up to date.

Unakumbuka siku ile tulipata earthquake ya 5.6 kwenye maeneo ya Rufiji? Within two or three minutes tayari alert ilikuwa imeingia kwenye simu yangu. Kwa hivyo siku hizi dunia ni ndogo sana mengine ni uwajibikaji tu.
 
Okay,
Ipo hivi, Tetemeko laweza Tokea any place on earth....
Ila pale Miamba ya mabara/Tectonic plates inapokutana ndiyo hot Zones
  • Ndipo ambapo 90% ya matetemeko hutokea duniani.
  • Matetemeko makubwa na korofi hutokea hapo...
Bara la Afrika halina hizo hot zones,,Tectonic plates zipo mbali na Bara la Afrika,
  • Nchi zinazokumbwa na matetemeko makubwa huwa ni zile zile miaka nenda miaka rudi.
  • Umbali wa hizo hot zones unafanya mitetemo yote inatokea ndani kabisa ya tabaka la dunia
  • Ndiyo hiko kipimo cha 5.5 kwa Afrika siyo tishio tofauti na Tetemeko la Kipimo hiko Japan au Uturuki.
  • Nchi za Afrika pekee zenye kukumbwa na Tatizo nJ Morocco,Algeria,Libya na Misri kwa maana zipo karibu na nyufa.
images (29).jpeg

Hiyo mustafi ya blue ndio nyufa zenyewe...
Nchi zote zenye rekodi ya matetemeko makubwa yamepitiwa na hizo nyufa...
Japan,Indonesia,Iran,Peru,China,Italy,Phillipine, New Zealand
 
Back
Top Bottom