Maeneo mapya yapata maambukizi, huku idadi ya visa ikipanda Kenya

mkiluvya

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2019
Posts
809
Reaction score
729

Watu 25 zaidi wamepatikana vna virusi vya corona, na kulifanya taifa la Kenya kuwa na jumla ya visa vya maambukizi 912, Kulingana na taarifa iliyotolewa na Katibu tawala wa waziri wa Afya Rashid Aman Jumatatu.

23 kati yao ni wanaume, huku waili wakiwa ni wanawake. Umri wao ni kati ya miaka 22 na miaka 50

23 kati ya visa vipya vya maambukizi ya Covid-19 ni raia wa Kenya, huku 2 wakiwa ni raia wa Wasomali.
kaunti za Taita Taveta, Garissa na Meru ni maeneo ya hivi karibuni kurekodi visa vyake vya kwanza vya virusi vya corona. Taveta ina wagonjwa 2, Garissa 2 na Meru 1.

Dkt Aman amesema kuwa sampuni 44,851 ndizo zilizokwishapimwa hadi sasa.
Mpango unaolengwa kwa sasa ni kuwapima watu wengi.''Tumepokea vifaa vya kupima ndio maana tumeongeza shughuli ya upimaji'', amesema.
 
wao hawafichi, ni kweli maambukizi yanapanda pamoja na lockdown. Hapa kwa bwelele kukoje?
 
Pamoja.na.lockdown babake lockdown.lakini kirusi kimedinda
Mmebakia kutangaza madereva wa kitanzania tu,yaani wazambia,malawi,congo,Rwanda wote hawana corona,
 
Hivi wao hawajifukizi? ***** zao watakufa sana. Nyungu ni tiba sahihi.

Waache uigizaji wa kuruhusu watu kutembea mchana na kuzuia kutembea usiku. Huu ni usanii wa kiwango cha lami. Usiku kwa kawaida watu mitaani wanakuwa wachache eti ndiyo wanazuia watu kutembea.

Wana usanii wa kuwaridhisha mabeberu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…