Maeneo mengi ya Dar es Salaam ni Vijiji vilivyochangamka mfano hai Mabwepande na Mbopo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.

Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.

Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- Hakuna madaraja
-Barabara mbovu utadhani ni kwa ajili ya vibwengo
-Matope ni sehemu maisha DSM
-Majalala hayampangilio na yananuka Mithili ya choo
-Mkoa una mbu kuzidi sisimizi
- Mafuriko ni sehemu ya maisha inayowapa furaha ya kuoga madinbwini.

Kupanga ni kuchagua maisha ndio haya haya. Mbele kwa mbele a.k.a CCM.

Endeleeni kubugh'aa

Wadiz.
 
Shalom,

DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.
Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.
Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- hakuna madaraja
-barabara mbovu utadhani ni kwa ajili ya vibwengo
-matope ni sehemu maisha DSM
-majalala hayampangilio na yananuka Mithili ya choo
-mkoa una mbu kuzidi sisimizi
- mafuriko ni sehemu ya maisha inayowapa furaha ya kuoga madinbwini.

Kupanga ni kuchagua maisha ndio haya haya. Mbele kwa mbele a.k.a CCM.

Endeleeni kubughaa

Wadiz
Mbopo ni jirani na Msumi....lakini madaraja yalizolewa na maji....na madaraja hayakuwa mali ya serikali....
.kimsingi hatuna serikali.
 
Shalom,

DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.
Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.
Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- hakuna madaraja
-barabara mbovu utadhani ni kwa ajili ya vibwengo
-matope ni sehemu maisha DSM
-majalala hayampangilio na yananuka Mithili ya choo
-mkoa una mbu kuzidi sisimizi
- mafuriko ni sehemu ya maisha inayowapa furaha ya kuoga madinbwini.

Kupanga ni kuchagua maisha ndio haya haya. Mbele kwa mbele a.k.a CCM.

Endeleeni kubughaa

Wadiz
Kuna sehemu IMEBIDI watu wafukie matofali barabarani maana Serikali IPO Ila barabara ni mbovu mbovu mbovu alafu ukiambiwa hii ni Dar huko kuna majumba makali wanaopita hapo wana Magari makali mpaka ya Million 500 Ila barabara mbovu mbovu mbovu
 
Sometimes inafikirisha sana ! Anyway ndio nature ya viongozi tulio nao Tanzania. 95% ya viongozi hawana huruma na sisi raia wao / wananchi wanao tuongoza
 
Ngoja Kwanza tuwanunulie Ma V8 wakuu wa wilaya,,,"Unaijua V8 wewe??"(in polepole's Voisi)
 
Back
Top Bottom