Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Mbopo ni jirani na Msumi....lakini madaraja yalizolewa na maji....na madaraja hayakuwa mali ya serikali....Shalom,
DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.
Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.
Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- hakuna madaraja
-barabara mbovu utadhani ni kwa ajili ya vibwengo
-matope ni sehemu maisha DSM
-majalala hayampangilio na yananuka Mithili ya choo
-mkoa una mbu kuzidi sisimizi
- mafuriko ni sehemu ya maisha inayowapa furaha ya kuoga madinbwini.
Kupanga ni kuchagua maisha ndio haya haya. Mbele kwa mbele a.k.a CCM.
Endeleeni kubughaa
Wadiz
Kuna sehemu IMEBIDI watu wafukie matofali barabarani maana Serikali IPO Ila barabara ni mbovu mbovu mbovu alafu ukiambiwa hii ni Dar huko kuna majumba makali wanaopita hapo wana Magari makali mpaka ya Million 500 Ila barabara mbovu mbovu mbovuShalom,
DSM ni mkusanyiko wa Vijiji vya hovyo vilivyochangamka, ni aibu mna viongozi ambao wana nafsi za tumbili na ngedere.
Hakuna anaejali mmejaza viongozi ambao ni mashetani wanyonya damu nyusa zao kama maghetto ya popobawa.
Kielelezo hakuna anaejali yafuatayo.
- hakuna madaraja
-barabara mbovu utadhani ni kwa ajili ya vibwengo
-matope ni sehemu maisha DSM
-majalala hayampangilio na yananuka Mithili ya choo
-mkoa una mbu kuzidi sisimizi
- mafuriko ni sehemu ya maisha inayowapa furaha ya kuoga madinbwini.
Kupanga ni kuchagua maisha ndio haya haya. Mbele kwa mbele a.k.a CCM.
Endeleeni kubughaa
Wadiz
Asanteni kwa taarifa